Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Mh. Magufuli you made my day mr presdent. Kassim Majaliwa was the best choice .
 
Hata mi nimecheck dah nakuta tayari aisee jama wapo faster
 
Vice president muislam fa mwanamke pm muislam hongera kwa rais magufuli kwa kubalance nchi

Yaani wewe ni mburura kwelikweli....unazungumzia udini kwani anaenda kuongoza mskiti??? Acheni akili za kuku....awe mkristo au mwislam inahusu nini katika kuongoza nchi badala ya kuangalia utendaji wa mtu.....!
 
Mwakyembe na Mwigulu waangukia pua. Na wasipo angalia hats uwaziri wa kawaida waweza kuukosa
 
ImageUploadedByJamiiForums1447916766.497522.jpgtulijua tuu
 
Daaah! JPM ana mipango yake anayoijua ila ndo hivyo ilikuwa siri nzito na hatimaye Kasim Majaliwa ndo kapendekezwa kazi kwenu wabunge kumpatia kura za diyo kikubwa aendane na kasi ya HAPA KAZI TU! Si watawaliwa tunahitaji tanzania yenye maendeleo yenye kasi
 
Nimejaribu kumgoogle jamaa ndani ya zile sekunde 15 baada ya kutangazwa na spika ila cha kushangaza nimekuta wikipedia tayari ilisha edit profile yake. Sasa ni nani huyo kabadilisha fasta hivo au ni lini ?

wikipedia inabadilishwa kirahisi hata wewe
ungekuwa mwanachama (member wao) na umefikia
rank flani unaruhusiwa ku add content kwenye wikipedia
kwahiyo hicho sio kitu cha ajabu.
 
2006 kikwete alifanya kosa kumteua lowassa maana alimfunika vibaya,magufuli naona kaogopa kumteua mwakiembe au mhongo maana wte wajanja kumliko wangemfunika sana..
 
Baada ya Rais kupendekeza jina la Kassim Majaliwa kwa nafasi ya U-pm.

Kama atapita anaenda kuwa Waziri Mkuu wa 11 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo ndio atakuwa mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali. Waziri Mkuu akichemsha, Serikali nzima imechemsha.

Mawaziri Wakuu wengine waliomtangulia ni Jk Nyerere, RM Kawawa, EM Sokoine, Cleopa Msuya, Salim A Salim, Warioba, Malecela, Sumaye, Lowassa na Pinda.

Ipi ni top 3 ya Mawaziri Wakuu bora wa wakati wote ambao walipiga kazi iliyotukuka katika Nchi hii.
 
Back
Top Bottom