Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Sura za zamani zikitoweka kwenye baraka la mawaziri.........Imani yangu na serikali inaweza kurudi...........
 
Magu+Maja =Magumaja.
Katika Kisukuma hilo neno Luna maana ndefu sana. Ila nadhani ni coincidence tuu
 
Nimependa sana hii ya barua ya Rais kuwa ya kuandika kwa mkono
wake mwenyewe.....hakika imeingia katika historia.
Pia Aide De Camp (yule mpambe wa Rais - hapo ina maana hakuna kuvuja kwa taarifa)
ndiye anaye ileta bungeni ikiwa imefungwa kwenye bahasha tatu na iko ndani ya briefcase ya Rais.
 
Huyu waziri sidhani kama ataperform asee,,,mtu yupo kama hayupo,itabidi rais ndo afanye kazi za waziri mkuu

unadhan kwann JK alimtengenezea zengwe EL.....

mkuu hakuna raisi anaependa kufunikwa na PM wake!!

hata wachambuzi wa mambo walishaona mbali...... ulitarajia jina kubwa? sahau
 
acheni kujifariji nyie kwa huo uteuzi...waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali,lazima awe ni mtu ambae kaishapimwa kwa uchapakazi waka kwa mapana .....kwa magufuli alivyo wa jazba na kukur?puka,alitakiwa afanye kazi na mtu mwenye akili na busara kumzidi..eg mhongo au labda na mwakiembe...magufuli hapendi kuwa challenged au kuwa questioned, kwa uteuzi huu ni dhairi kuwa anataka awe rais na waziri mkuu at the same time..
 
Huyu waziri sidhani kama ataperform asee,,,mtu yupo kama hayupo,itabidi rais ndo afanye kazi za waziri mkuu

Darubini ..

attachment.php
 
Attachments

  • JPM.png
    JPM.png
    76.9 KB · Views: 1,362
Uteuzi wa Mh.K Majahaliwa kama PM uko sahihi kwa 100%.

Walio wengi wanapenda kuona watu wapya katika safu

nyingine.

Viongozi watendaji Tanzania wapo wengi sana,

ule utamaduni wa kuwarithisha watoto wa vigogo madaraka

makubwa ni hatari sana na sasa uenda ukatokomezwa kabisa.

Viva Tanzania Viva Magufuri.Hapa sasa kazi ndio imeanza na wale wote
waliokusaidia kwa madhumuni ya kupata vyeo ingali CV zao ni chafu
yamkini utawajua tu siku si nyingi.
 
Nimependa sana hii ya barua ya Rais kuwa ya kuandika kwa mkono
wake mwenyewe.....hakika imeingia katika historia.
Pia Aide De Camp (yule mpambe wa Rais - hapo ina maana hakuna kuvuja kwa taarifa)
ndiye anaye ileta bungeni ikiwa imefungwa kwenye bahasha tatu na iko ndani ya briefcase ya Rais.

Sasa mbona jina lilishavuja?
 
Yaani ndani ya serikali watu hawaaminiki, walishatoa jina mtaani, nani angewaza ni Mh Majaliwa kuwa ndie chaguo la Mh Raisi JPM?

Hili jina mbona limejadiliwa sana humu JF? kuna mtu alimuanzishia hadi uzi akidai eti ndo chaguo la Mpaka. Mleta uzi alidai eti Mpaka kasema Magufuli ni mkali hivyo waziri mkuu awe mpole, ndo huyu Majaliwa alipendekezwa.
Kulikuwa na Majaliwa na Kawambwa ambao walikuwa wakitajwa tajwa! Kwangu halijawa jina geni sababu nimelikutakuta humu jf likitajwa. Ngoja tumpe benefit of the doubt, alikuwaga chini ya Hawa Ghasia na huko hamna kikubwa walichofanya.
Ila inasemekana jamaa hana makundi, ni kitu kizuri.
 
Back
Top Bottom