General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
Kasim Majaliwa ni nani???
shemeji yake kikwetee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kasim Majaliwa ni nani???
Nimemsifu Magufuli kwa kuwa msiri
Huyu waziri sidhani kama ataperform asee,,,mtu yupo kama hayupo,itabidi rais ndo afanye kazi za waziri mkuu
Ataweza sana tu
Huyu waziri sidhani kama ataperform asee,,,mtu yupo kama hayupo,itabidi rais ndo afanye kazi za waziri mkuu
Sospeter Mhongo + Dr Mwakyembe.... Mmoja kati ya hao
Kwa mbali naiona div 6 inakuja!!!!
Darasa la nne na form 2 hawatarudia darasa!!! i dont know tunaenda wapi!!??
Nimependa sana hii ya barua ya Rais kuwa ya kuandika kwa mkono
wake mwenyewe.....hakika imeingia katika historia.
Pia Aide De Camp (yule mpambe wa Rais - hapo ina maana hakuna kuvuja kwa taarifa)
ndiye anaye ileta bungeni ikiwa imefungwa kwenye bahasha tatu na iko ndani ya briefcase ya Rais.
kumteua Shemeji wa Kikwete...!?
Yaani ndani ya serikali watu hawaaminiki, walishatoa jina mtaani, nani angewaza ni Mh Majaliwa kuwa ndie chaguo la Mh Raisi JPM?