Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Ni mda sahihi sasa kwa watanzania kupigania katibu mpya, hiki cheo cha waziri mkuu kina maana gani kama kuna makamu wa rais?? Kwanini makamu wa rais asifanye kazi za waziri mkuu au awepo waziri mkuu tuu?? Hizi nchi ndogo ndo zina vyeo vya ajabu sana.
 
Huyu waziri sidhani kama ataperform asee,,,mtu yupo kama hayupo,itabidi rais ndo afanye kazi za waziri mkuu

Naona ndiyo lengo lake hasa. Hapa ni kama Mkapa na Sumaye.
Huwezi kuweka mtu ang'are kuliko wewe Rais.
All the same sio mbaya. Ukiacha mambo ya Zanzibar, sasa kuna utamduni unakuja, ni mzuri tu, kati ya Rais (akiwa mtanhanyika) na waziri mkuu, mmoja akiwa Mkristo, mwingine anakuwa Muislamu. Ni kitu kizuri.
 
Magu+Maja =Magumaja.
Katika Kisukuma hilo neno Luna maana ndefu sana. Ila nadhani ni coincidence tuu

Mkuu hii inaweza ikawa ni planned si unajua raisi ni MSUKUMA..Magufuli+Majaliwa=Magumaja
 
Kwa mara ingine ccm imedhirisha inaongozwa na nguvu za giza! wadau mtakuwa mnakumbuka kwenye kampeni za mwaka 2010 shehe yahaya aliwahi sema kuwa atamuongezea nguvu ya ulinzi baada ya baba riz kuanguka jangwani. leo tena magufuli anatuletea mzee wa matambiko!
 
Kipaji cha kulia hadharani anacho!!
 
Utakuwa na upungufu wa ajili mwilini. Mwakyembe ni nani kwani? Ni yeye tu mwenye uwezo wa kuongoza? Kwanza ni mtu mpenda sifa, ana makundi mengi..angemuangusha raisi. Kassim ni uteuzi mzuri..

Sawa ni uteuzi mzuri lakni akishaanza kuharibu mnajifanya kama sio nyie mliokuwa mnamsifia
 

sure,kaweka mtu boya ili asifunikwe,,,short and clear
 
ngoja niende jukwaa la sport nikaangalie kama jecha kashafanya yake kwenye matokeo ya stars na algeria maana malalamiko yamekuwa mengi mno
 
Sura za zamani zikitoweka kwenye baraka la mawaziri.........Imani yangu na serikali inaweza kurudi...........
Utendaji utakuwa mzuri japo nimesikia tena anaundugu na salma kikwete!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…