Giambatista Vico
JF-Expert Member
- Apr 11, 2015
- 357
- 121
kumbe zitto alitabiri kweli. duu hongera yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu waziri sidhani kama ataperform asee,,,mtu yupo kama hayupo,itabidi rais ndo afanye kazi za waziri mkuu
mimi naomba mnieleweshe wakuu na Zanzibar kuna pm wao
Magu+Maja =Magumaja.
Katika Kisukuma hilo neno Luna maana ndefu sana. Ila nadhani ni coincidence tuu
Utakuwa na upungufu wa ajili mwilini. Mwakyembe ni nani kwani? Ni yeye tu mwenye uwezo wa kuongoza? Kwanza ni mtu mpenda sifa, ana makundi mengi..angemuangusha raisi. Kassim ni uteuzi mzuri..
acheni kujifariji nyie kwa huo uteuzi...waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali,lazima awe ni mtu ambae kaishapimwa kwa uchapakazi waka kwa mapana .....kwa magufuli alivyo wa jazba na kukur?puka,alitakiwa afanye kazi na mtu mwenye akili na busara kumzidi..eg mhongo au labda na mwakiembe...magufuli hapendi kuwa challenged au kuwa questioned, kwa uteuzi huu ni dhairi kuwa anataka awe rais na waziri mkuu at the same time..
Huyo ni mchapa kazi. Mwigulu kuwa Waziri wa fedha.
Udondo wa ubongo huuKwaani hata asipoweza mtatufanya nini maana wabunge wengi tunao sisi mtaisoma namba mwaka huu
sure,kaweka mtu boya ili asifunikwe,,,short and clear
Utendaji utakuwa mzuri japo nimesikia tena anaundugu na salma kikwete!Sura za zamani zikitoweka kwenye baraka la mawaziri.........Imani yangu na serikali inaweza kurudi...........