Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Katika kazi ya kuteuwa Waziri Mkuu umefanywa kwa weredi nimeona binafsi kuwa Kassim Majaliwa ni bora kuliko wale tuliowazoea maana Bora Panya mpya kuliko panya wa Ghalani" Maana panya wa ghalani kumfukuza ni kazi na usipokuwa makini unaweza kuangukiwa na magunia!ila panya mpya ni bora si muharibifu kama mwenyeji!Naona sasa ile dhana ya kuwa na viongozi tulio wazoea inaanza kupotea,hapa naanza kuona hata mawaziri wanaweza kuwa wapya!
Hii inaweza kurudisha imani katika chama cha mapainduzi.

Acha upenzi, be objective mvinyo ni huo huo tofauti ni chupa. All are products of a rotten system he will do nothing against the will of JK, Nape, Kinana, Mkapa and the like
 
Tafadhali mwenye sifa za kiutendaji za huyu waziri mkuu mteule atupatie hapa wengine hatumjui kantu
 
ngoja niende jukwaa la sport nikaangalie kama jecha kashafanya yake kwenye matokeo ya stars na algeria maana malalamiko yamekuwa mengi mno

Hahahaaah huko ndio utapata stress zaidi
 
Mleta mada hebu kuwa serious???

Mana huyu ni team msoga huyu afu kilaza

Binafsi nimesikitika sana....Then watu wanatoa mapovu Kwamba hapa kazi tu daah......Kuna mdudu 1 anaitwa KENGE inasemekana huyu ili uthibitishe kuwa KAFA hakikisha ametoka Damu masikioni ndivyo walivyo watanganyika
 
kweli nayo ni maduduuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu tu

MTAJIBEBA NA MBEREKO!!!! Hii ndio CCM chama cha Kitaifa..... Team inapangwa kwa kuzingatia Uwezo, Matabaka, Kanda, na Jinsia...... Rais - Kanda ya Ziwa (Mwanaume)..... Makamu - Zanzibar (Mwanamke)....Speaker....kanda ya kati (Mwanaumeme) ......Naibu Speaker Nyanda za juu kusini (Mwanamke)...... Waziri Mkuu ....Kusini Pwani (Mwanaume)...... CCM ni Raha tupu.....purely Scientific........ Walee jamaa Zetu Wanazidi kupagawa!!!
 
Daaah! JPM ana mipango yake anayoijua ila ndo hivyo ilikuwa siri nzito na hatimaye Kasim Majaliwa ndo kapendekezwa kazi kwenu wabunge kumpatia kura za diyo kikubwa aendane na kasi ya HAPA KAZI TU! Si watawaliwa tunahitaji tanzania yenye maendeleo yenye kasi

Pole kwa kusubiri maendeleo maana utasubiri sana
 

Attachments

  • 1447920328865.jpg
    1447920328865.jpg
    24.2 KB · Views: 1,060
Hawana undugu ni maneno tu ya watu. Hata Membe walisema wana undugu wengine wakasema Membe ana undugu na Kikwete.

Samahani lakini unaweza tupia picha ya mke wa Membe hapa tuchangie mada.
 
Back
Top Bottom