fredmlay
JF-Expert Member
- Apr 30, 2008
- 1,849
- 391
Ili-leak wapi mkuu..au unataka kusema ulikuwa na magufuli! Hahahaa
Kama alishatajwa kabla jina halijapelekwa bungeni na akaandikwa kwenye gazeti nini usichoelewa hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili-leak wapi mkuu..au unataka kusema ulikuwa na magufuli! Hahahaa
Katika kazi ya kuteuwa Waziri Mkuu umefanywa kwa weredi nimeona binafsi kuwa Kassim Majaliwa ni bora kuliko wale tuliowazoea maana Bora Panya mpya kuliko panya wa Ghalani" Maana panya wa ghalani kumfukuza ni kazi na usipokuwa makini unaweza kuangukiwa na magunia!ila panya mpya ni bora si muharibifu kama mwenyeji!Naona sasa ile dhana ya kuwa na viongozi tulio wazoea inaanza kupotea,hapa naanza kuona hata mawaziri wanaweza kuwa wapya!
Hii inaweza kurudisha imani katika chama cha mapainduzi.
Kwa fikra zake anaweza kuleta jina la Waziri Mkuu kutoka Zanzibar
Kama alishatajwa kabla jina halijapelekwa bungeni na akaandikwa kwenye gazeti nini usichoelewa hapo
ngoja niende jukwaa la sport nikaangalie kama jecha kashafanya yake kwenye matokeo ya stars na algeria maana malalamiko yamekuwa mengi mno
Utendaji utakuwa mzuri japo nimesikia tena anaundugu na salma kikwete!
Mleta mada hebu kuwa serious???
Mana huyu ni team msoga huyu afu kilaza
Magu+Maja =Magumaja.
Katika Kisukuma hilo neno Luna maana ndefu sana. Ila nadhani ni coincidence tuu
Sura za zamani zikitoweka kwenye baraka la mawaziri.........Imani yangu na serikali inaweza kurudi...........
Utendaji utakuwa mzuri japo nimesikia tena anaundugu na salma kikwete!
kweli nayo ni maduduuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu tu
Daaah! JPM ana mipango yake anayoijua ila ndo hivyo ilikuwa siri nzito na hatimaye Kasim Majaliwa ndo kapendekezwa kazi kwenu wabunge kumpatia kura za diyo kikubwa aendane na kasi ya HAPA KAZI TU! Si watawaliwa tunahitaji tanzania yenye maendeleo yenye kasi
Nipe evidence ya hilo gazeti ? Hata kapicha tuu mkuu
Hawana undugu ni maneno tu ya watu. Hata Membe walisema wana undugu wengine wakasema Membe ana undugu na Kikwete.