Hongera kwake ila kiukweli mambo bdo magumu tz
MTAJIBEBA NA MBEREKO!!!! Hii ndio CCM chama cha Kitaifa..... Team inapangwa kwa kuzingatia Uwezo, Matabaka, Kanda, na Jinsia...... Rais - Kanda ya Ziwa (Mwanaume)..... Makamu - Zanzibar (Mwanamke)....Speaker....kanda ya kati (Mwanaumeme) ......Naibu Speaker Nyanda za juu kusini (Mwanamke)...... Waziri Mkuu ....Kusini Pwani (Mwanaume)...... CCM ni Raha tupu.....purely Scientific........ Walee jamaa Zetu Wanazidi kupagawa!!!
Mkuu OLESAIDIMU, rejea bandiko lile niliposema Mwigulu is the best, if the best if what Magufuli was looking for!. Japo Magufuli ni mtu mwingine lakini CCM ni ile ile!. Magufuli ameshauriwa kuweka boya he can push around atakavyo!. Angemuweka Mwingulu au Prof. Mhongo hawa ni watu real and genuine!, you can't push them around kuwaswaga tuu kama ling'ombe.We si ulisema Mwigulu ni genuine pekee aliyebaki??!!
Ndugu yangu usipoteze muda wako kusifia huu uozo, hapo hakuna jipya anafanyia kazi maelekezo ya Msoga!! Ningemwona hatabiriki kama angemwibua mtu kama Livingstone Lusinde, Steven Ngonyani, Jah People (ha ha ha haaa utani mkuu). Sasa hapa katumia ushauri wa Msoga ili kuwapoza na maumivu ya kuukosa urais kama walivyokuwa wamejipangia (mama Salma huyo). Gufuli naye afanye kwa kujitegemea bwana, hiyo nafasi ajue kabisa hakuipata kwa hisani ya watu wa Msoga (vinginevyo atatufanya tuamini kwamba alikuwa amepigwa kwenye sanduku la kura, akabebwa na Msoga - ingawa kuna kachembe ka ukweli).