Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 5,814
- 8,118
......Spika kanda ya Kati, Naibu Spika Nyanda za juu Kusini.Rais Mwanza, Makamu Zanzibar, Waziri Mkuu Lindi...... wangekua wale wenzetu sijui kama ingetokea hii!
Mbn muongozo wa kubenea haukufanyiwa kazi au kwasababu yeye mgen bungen?
wewe nakuelewa zaidi2006 kikwete alifanya kosa kumteua lowassa maana alimfunika vibaya,magufuli naona kaogopa kumteua mwakiembe au mhongo maana wte wajanja kumliko wangemfunika sana..
Sisi hatuna mpango na waziri Mkuu wa ccm, tunataka maalim Seif ahudhurie Bunge Hilo kama RAIS halali wa Zanzibar.
utaanza kumtazama, kumjadili na kumjadili kutokana na KABILA lake na utakuwa umepoteza sifa ya uchambuzi.
ni kweli upinzani usingeweza kupongeza uteuzi wa yeyote na huo ndio upinzani ulivyo dunia nzimaAcheni aharibu si ndo faida kwa UKAWA.
Hakuna chaguo ambalo mngelikubali, mwenyewe Magufuli hakubaliki UKAWA sasa chaguo lake vyovyote haliwezi kubalika.
Ok, nimekuelewa, haya ni masuala ya mtazamo tu, tusiyachukulie serious sanaWala so hivyo mkuu sina nia hiyo kuna mtu yuko nje uko ndo kaniuliza
Liko Lindi kwao Salma Kikwete!
Mimi nimeridhika na uteuzi huu, tena kwa asilimia mia. Tumepata mtu ambaye hakuwepo kwenye midomo ya watu..sio maarufu kwenye media..amekaa wizara ya waziri mkuu kwa miaka mitano tu. Hivyo experience yake inatosha sana kuwa PM.
Haya majina ya Mwakyembe, Makamba, Muhongo yalikuwa yananichosha tu, Kwani Tanzania ina watu walewale tu.
Mkuu sitaki kwenda ndani sana,mke wa Majaliwa ni ndugu yangu. Majaliwa hana undugu na Salma Kikwete
Kwa walioishi Mtwara miaka ya 1995-2000 wengi wanamfahamu, alikuwa kocha kuna timu inaitwa Congo
[/QUOTE
USIOLIJUA NI USIKU WA GIZA. KWA NINI ALITUMIA MUDA MWINGI WA KAMPENI MKOANI LINDI HASA RUANGWA NA ASITUMIE MUDA MWINGI JIMBO LA KIBITI AMBAPO BABA YAKE NDIPO ALIPOTOKEA?
" Mhe Majaliwa ni miongoni mwa wanadamu wachache ambao hawapatikani kirahisi"-Kangi Lugola
acheni kujifariji nyie kwa huo uteuzi...waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali,lazima awe ni mtu ambae kaishapimwa kwa uchapakazi waka kwa mapana .....kwa magufuli alivyo wa jazba na kukur?puka,alitakiwa afanye kazi na mtu mwenye akili na busara kumzidi..eg mhongo au labda na mwakiembe...magufuli hapendi kuwa challenged au kuwa questioned, kwa uteuzi huu ni dhairi kuwa anataka awe rais na waziri mkuu at the same time..