Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Mwanza, Makamu Zanzibar, Waziri Mkuu Lindi...... wangekua wale wenzetu sijui kama ingetokea hii!
......Spika kanda ya Kati, Naibu Spika Nyanda za juu Kusini.

Kuna mambo ni "unwritten" lakini yana nafasi kubwa sana katika kudumisha mshikamano na kulinda utaifa. Watu hawaelewi tu lakini no way kuepuka mambo hayo.
 
2006 kikwete alifanya kosa kumteua lowassa maana alimfunika vibaya,magufuli naona kaogopa kumteua mwakiembe au mhongo maana wte wajanja kumliko wangemfunika sana..
wewe nakuelewa zaidi
 
Acheni aharibu si ndo faida kwa UKAWA.
Hakuna chaguo ambalo mngelikubali, mwenyewe Magufuli hakubaliki UKAWA sasa chaguo lake vyovyote haliwezi kubalika.
 
Naona ataweza
Lakin nahis rais hakutaka kuteua atakaye mzidi kiutendaji

Tunataka maendeleo
 
Nimefurahi MAJALIWA kawa PM
Nimefurahi Adam Malima kakosa ubunge
Nimefurahi kusikia Majaliwa anafaa wengine hawafai kuwa PM
Nimechukia sana LUKUVI kukosa u PM
Nitachukia Nape akiwa Waziri
Naona BUNGE limeanza vibaya.
 
Acheni aharibu si ndo faida kwa UKAWA.
Hakuna chaguo ambalo mngelikubali, mwenyewe Magufuli hakubaliki UKAWA sasa chaguo lake vyovyote haliwezi kubalika.
ni kweli upinzani usingeweza kupongeza uteuzi wa yeyote na huo ndio upinzani ulivyo dunia nzima
 
Ha ha ha ha
Watu wa Mtwara na Lindi wote wanafanana kama wachina. Huyu Kassim mbona anafanana na Membe
 
ukiwa upinzani nahisi hakili huwa zinapungua kidogo sababu hats jambo la msingi wao wanapinga tu,

wanashindwa kumpinga mbowe kwa kumuondoa slaa, nasasa chama kinakufa hivihivi. pole sana upinzani.
 
Huoni kama hana tofauti sana na Mizengo
Mimi nimeridhika na uteuzi huu, tena kwa asilimia mia. Tumepata mtu ambaye hakuwepo kwenye midomo ya watu..sio maarufu kwenye media..amekaa wizara ya waziri mkuu kwa miaka mitano tu. Hivyo experience yake inatosha sana kuwa PM.
Haya majina ya Mwakyembe, Makamba, Muhongo yalikuwa yananichosha tu, Kwani Tanzania ina watu walewale tu.
 
Mkuu sitaki kwenda ndani sana,mke wa Majaliwa ni ndugu yangu. Majaliwa hana undugu na Salma Kikwete

Kwa walioishi Mtwara miaka ya 1995-2000 wengi wanamfahamu, alikuwa kocha kuna timu inaitwa Congo
[/QUOTE


USIOLIJUA NI USIKU WA GIZA. KWA NINI ALITUMIA MUDA MWINGI WA KAMPENI MKOANI LINDI HASA RUANGWA NA ASITUMIE MUDA MWINGI JIMBO LA KIBITI AMBAPO BABA YAKE NDIPO ALIPOTOKEA?
 
Pinda . Wassira. Membe. Wamestaafu???
 
Upinzania walitaka achague kutoka kanda ya ziwa ili wamu blackmail na Ukanda. Ha ha ha ha
 
Sifa pekee ni uadilifu tu mbona hujatupa sifa ya uchapa kazi wake

Huo uwaziri ofisi ya Waziri Mkuu unafikiri atakuwa anafanya nini !?
Ukawa mna maswali ya kibwege ----- sana. simanyane
 
Last edited by a moderator:
unamaanisha anataka kuwa Vladmir Puttin?
acheni kujifariji nyie kwa huo uteuzi...waziri mkuu ni mtendaji mkuu wa serikali,lazima awe ni mtu ambae kaishapimwa kwa uchapakazi waka kwa mapana .....kwa magufuli alivyo wa jazba na kukur?puka,alitakiwa afanye kazi na mtu mwenye akili na busara kumzidi..eg mhongo au labda na mwakiembe...magufuli hapendi kuwa challenged au kuwa questioned, kwa uteuzi huu ni dhairi kuwa anataka awe rais na waziri mkuu at the same time..
 
Back
Top Bottom