barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
hapa hakuna ushabiki ninaofanya, kwenye uchambuzi huwezi kukwepa kulinganisha au kutofautisha watu ili kujua yupi bora zaidi, anyway nimekuelewa.Naomba tusilinganishe uwezo wa mtu na mtu mwingine. Watu wanasema kuwa JK ni sawa na JPM, huu ni utawala mwingine. Mimi sitaki kushabikia, tumpe muda tuone.
umenifanya nicheke,bwana awe nawe
Yule mdoli wenu mwenye malengo amefika wapi zaidi ya kuiba!Watanzania kwa uzuzu unaizungumzia kasi ipi dunia ya leo haiitaji kasi inahitaji malengo na umaskini tu Utaweza kwenda kasi kwa njia ambayo sio sahihi na kupotea (kama alivyokamata samaki) tunataka mwendo wa kawaida kwa uhakika malengo. Ma usahihi
Taarifa za magazeti likiwamo tanzania daima zilitoka wapi?
Taarifa za magazeti likiwamo tanzania daima zilitoka wapi?
Ngoja tumpe nafasi, nimemsikia akiongea Azam Tv, mpole fulani hivi kama Pinda ule upole wake, ningependa kama angepewa mtu kama Mwakyembe, Muhongo au Mwigulu! Natumai sasa hawa ni mawaziri wa uchukuzi, nishati na fedha respectively! Makamba apewe mambo ya nje, itakayohusika na michezo apewe Kigwangalla, kina mama sijajua jembe ni nani!
Huyu Tulia hamna kitu
Hapo ndo ujue kwamba qualifications za kwenye karatasi huwa haziakisi uwezo wa mtu moja kwa moja.
Ameolewa?Huyu dada wa Tarime ni balaa ila anaonekana ni mcharuko, nilimuona Bonna Kalua siku anaapishwa 'nikazimia'! Mzuuri kwa viwango vyangu alafu ana kamzigo fulani, dah!
Hili bunge upande wa warembo, ni shiida! Wale ambao wake na wapenzi wao ni miongoni mwa hawa warembo wana wakati mgumu sana.
Huu mfumo unakatisha tamaa hata vijana yani vigezo vinakuwa ukabila,ukanda, ujinsia,udini eti kubalance mambo na nchi !wtf! Haya angalia watu waanza kusema 2025 muislam pasipo kujua atakuwa na uwezo au vp? Mbona nyerere aliwajaza wachaga maofisini kwa sababu walikuwa wamesoma! Kenya hamnna ujinga huo km unajua unanguvu pambana sio kubalance mambo! Unamuachaje mwigulu, muhongo, mwakyembe, unamleta majaliwa ili iweje? Yawezekana leo ikawa turning point yangu kutoka ccm au kuacha kufikiria km ntaingia siasani ! Km jpm maguli ni jembe kaogopa nini kuchagua majembe menzake? Hapa kinana kaniangusha
Nami nimemsikia, pia kasema ATAMSHAURI RAIS KUWE NA SIKU MOJA YA MAZOEZI, Siku hiyo watanzania wote tupige MAZOEZI YA VIUNGO.Akiongea na Azam TV, Waziri Mkuu aliyeteuliwa leo amesema kuwa alipigwa na butwaa na kutokwa na machozi mara baada ya jina lake kutajwa kama waziri mkuu, kwani hakuwa anafahamu chochote na amesifu usiri uliotumiwa na mhe. Magufuli katika mchakato huu.
Weka pendekezo lako, kama haukubaliani na hilo!Ivi huyu Makamba kawaloga..!?
TUNDU LISU huyoHapo ndo ujue kwamba qualifications za kwenye karatasi huwa haziakisi uwezo wa mtu moja kwa moja.
Hahahaha Pasco, leo sina furaha lakini hili nalo limenifanya nichekeTume ya Katiba, Mimi sijazungumzia dini ya mtu!, nimezungumzia tuu majina ka Rais ni Joni, then PM awe Juma!.
Pasco