Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Ngoja tumpe nafasi, nimemsikia akiongea Azam Tv, mpole fulani hivi kama Pinda ule upole wake, ningependa kama angepewa mtu kama Mwakyembe, Muhongo au Mwigulu! Natumai sasa hawa ni mawaziri wa uchukuzi, nishati na fedha respectively! Makamba apewe mambo ya nje, itakayohusika na michezo apewe Kigwangalla, kina mama sijajua jembe ni nani!
 
Naomba tusilinganishe uwezo wa mtu na mtu mwingine. Watu wanasema kuwa JK ni sawa na JPM, huu ni utawala mwingine. Mimi sitaki kushabikia, tumpe muda tuone.
hapa hakuna ushabiki ninaofanya, kwenye uchambuzi huwezi kukwepa kulinganisha au kutofautisha watu ili kujua yupi bora zaidi, anyway nimekuelewa.
 
Watanzania kwa uzuzu unaizungumzia kasi ipi dunia ya leo haiitaji kasi inahitaji malengo na umaskini tu Utaweza kwenda kasi kwa njia ambayo sio sahihi na kupotea (kama alivyokamata samaki) tunataka mwendo wa kawaida kwa uhakika malengo. Ma usahihi
Yule mdoli wenu mwenye malengo amefika wapi zaidi ya kuiba!
 
NAMSUBIRIA RAIS TU nyie pigeni makeleleyenu mmezoeleka kupita na matukia
 
Akiongea na Azam TV, Waziri Mkuu aliyeteuliwa leo amesema kuwa alipigwa na butwaa na kutokwa na machozi mara baada ya jina lake kutajwa kama waziri mkuu, kwani hakuwa anafahamu chochote na amesifu usiri uliotumiwa na mhe. Magufuli katika mchakato huu.
 
Taarifa za magazeti likiwamo tanzania daima zilitoka wapi?
 
kalilia marupurupu manono ndugu yangu!Majaliwa sasa yy na familia yake maisha baridiiii!
Amelia zaidi akikumbuka kuwa hata akifukuzwa kazi baada ya kuapa mshahara wake wa 80% ya current PM upo palepale hadi anakufa!

Hata ww ungelia mkuu!
 
Taarifa za magazeti likiwamo tanzania daima zilitoka wapi?

Kumpata PM ni mchakato mrefu sana kuanzia watu wanaofanya Screening/background check mpaka kwenye dawati la Rais ni mnyororo wa watu wanaohusishwa...ni ngumu sana watu wote hao kuweka siri..Somehow, somewhere, someone must speak...hata hivyo, wamejitahidi sana kuweka siri...watu walikuwa wanabahatisha tu
 
Ivi huyu Makamba kawaloga..!?
Ngoja tumpe nafasi, nimemsikia akiongea Azam Tv, mpole fulani hivi kama Pinda ule upole wake, ningependa kama angepewa mtu kama Mwakyembe, Muhongo au Mwigulu! Natumai sasa hawa ni mawaziri wa uchukuzi, nishati na fedha respectively! Makamba apewe mambo ya nje, itakayohusika na michezo apewe Kigwangalla, kina mama sijajua jembe ni nani!
 
Huyu dada wa Tarime ni balaa ila anaonekana ni mcharuko, nilimuona Bonna Kalua siku anaapishwa 'nikazimia'! Mzuuri kwa viwango vyangu alafu ana kamzigo fulani, dah!
Hili bunge upande wa warembo, ni shiida! Wale ambao wake na wapenzi wao ni miongoni mwa hawa warembo wana wakati mgumu sana.
Ameolewa?
 
naona imekuuma sana. saga chupa unywe ni tiba ya chuki.

Huu mfumo unakatisha tamaa hata vijana yani vigezo vinakuwa ukabila,ukanda, ujinsia,udini eti kubalance mambo na nchi !wtf! Haya angalia watu waanza kusema 2025 muislam pasipo kujua atakuwa na uwezo au vp? Mbona nyerere aliwajaza wachaga maofisini kwa sababu walikuwa wamesoma! Kenya hamnna ujinga huo km unajua unanguvu pambana sio kubalance mambo! Unamuachaje mwigulu, muhongo, mwakyembe, unamleta majaliwa ili iweje? Yawezekana leo ikawa turning point yangu kutoka ccm au kuacha kufikiria km ntaingia siasani ! Km jpm maguli ni jembe kaogopa nini kuchagua majembe menzake? Hapa kinana kaniangusha
 
Akiongea na Azam TV, Waziri Mkuu aliyeteuliwa leo amesema kuwa alipigwa na butwaa na kutokwa na machozi mara baada ya jina lake kutajwa kama waziri mkuu, kwani hakuwa anafahamu chochote na amesifu usiri uliotumiwa na mhe. Magufuli katika mchakato huu.
Nami nimemsikia, pia kasema ATAMSHAURI RAIS KUWE NA SIKU MOJA YA MAZOEZI, Siku hiyo watanzania wote tupige MAZOEZI YA VIUNGO.
 
Ivi huyu Makamba kawaloga..!?
Weka pendekezo lako, kama haukubaliani na hilo!
Makamba hajaroga mtu, ni kijana mchapa kazi, nina uhakika angekuja ukawa toroka uje mngeitisha siku ya mapumziko, huyu jamaa kafichua majamaa ya IT.
 
Back
Top Bottom