barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Ngoja tumpe nafasi, nimemsikia akiongea Azam Tv, mpole fulani hivi kama Pinda ule upole wake, ningependa kama angepewa mtu kama Mwakyembe, Muhongo au Mwigulu! Natumai sasa hawa ni mawaziri wa uchukuzi, nishati na fedha respectively! Makamba apewe mambo ya nje, itakayohusika na michezo apewe Kigwangalla, kina mama sijajua jembe ni nani!