Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Afadhali, si makamba,mwakyembe, muhongo wala sita. Asante Mungu kuwakataa wanafiki.
 
daaah huyo ndo Mugufuli, kweli hapa kazi tu
 
huyu kassim majaliwa ndio nan? Aaghrrr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…