Mwana Mpotevu
Platinum Member
- Sep 7, 2011
- 3,295
- 2,501
Leo ndio siku ambayo Spika wa Bunge atafungua Bahasha yenye jina la Waziri Mkuu na kisha Bunge kuketi kama kikao kumpitisha ama kumkataa Waziri Mkuu Mteule.
Tujiunge mahala hapa kwa ajili ya Updates kutoa bungeni Dodoma
- Bunge linaanza na kazi ya kwanza kuthibitisha jina la waziri mkuu. Spika anasubiriwa aseme. Bunge kimyaaaa
- Spika anatoa utaratibu wa namna ya kuthibitisha jina na kuwa itabidi mwanasheria mkuu aandae profile ya mteule ambae sasa hamjui. Hivyo itabidi bunge liahirishwe kwa muda ili akaandae profile hiyo baada ya jina kusomwa. Katibu mkuu katumwa kufuata bahasha yenye jina now
- Msigwa aomba mwongozo kutaka bunge liahirishwe maana serikali inalidhalilisha bunge kwa kusubiri bila sababu.
Mwanasheria anajibu kuwa mtoa hoja ndie anadhalilisha bunge na hivyo anaitetea serikali kuwa usiri huu wa jina ni muhimu
-Spika anasema bahasha yenye jina italetwa kwa staili mpya katika Briefcase. Kisha briefcase itafunguliwa na bahasha kutolewa na jina kusomwa. Tunaendelea kusubiri
- Spika anakumbusha leo pia kuna uchaguzi wa naibu spika. Wagombea ni wawili. Dr Tulia Mwansasu na Magdalena Sakaya
- Katibu karejea na mpambe wa Rais (ADC) anaingia na bahasha aliyotumwa na Rais kumletea Spika. Spika anafungua Bahasha tatu na anatangaza kuwa Rais amemteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu
Spika anasema barua imeandikwa na Rais kwa mkono wake mwenyewe haikuchapishwa.
Spika anasoma; '' Job Ndugai, Mh Spika, mimi mwenyewe kwa nafasi yangu kama Rais wa JMT nimemteua Mbunge wa Ruangwa mh. Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa waziri mkuu wa JMT.''
Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mh. Majaliwa Kassim Majaliwa (Mb)
*Spika amesitisha Bunge kwa muda wa dakika 45.
-Bunge limerejea. Mwanasheria mkuu ametoa wasifu wa Kassim Majaliwa, kisha wabunge wanaendelea kumuelezea Majaliwa na kuunga mkono Uteuzi wake.
-Mbunge Saed Kubenea amtaka Kangi Lugora kufuta kauli yake kuwa Kubenea alipiga makofi kumuunga mkono Majaliwa. Spika amwambia ulikuwa mzaha hivyo aendelee kuchangia. Kubenea asisitiza kuombwa msamaha. Hatimaye Kangi Lugora aamua kuyaondoa maneno aliyoyasema kuhusu Kubenea. Katibu wa Bunge anatoa mwongozo wa upigaji Kura sasa
-Masanduku ya kura yamewasili. Kura ni ndio au hapana. Wabunge wanaanza kupiga kura now
-Baada ya kupiga kura za kumthibitisha Waziri Mkuu, itafuata zoezi la uchaguzi wa Naibu spika asubuhi hii. Wagombea ni Magdalena Sakaya wa UKAWA na Dr Tulia Mwansasu wa CCM
=======
Kinachoendelea kwa sasa na wagombea wanaogombea nafasi ya unaibu spika wanaomba kura na kwa sasa ni Magdalena Sakaya kupitia CUF, amesema ana uzoefu wa uongozi kwa miaka 20, kati ya hio miaka 10 ndani ya bunge. Sakaya akijibu swali la Kairuki kuhusu kufanya kazi na spika asie wa chama chake. Amesema kila mbunge anafanya kazi kwa ajili ya watanzania kuhakikisha matarajio ya watanzania yanafikiwa bila kuangalia chama.
Gekul: Umekuwa mbunge kwa awamu tatu, mawazo katika bunge hili hayatekelezwi na serikali, utatumiaje uzoefu wako kuunganisha bunge na serikali.
Sakaya: Tunatambua na awamu mpya ya awamu ya tano, tuna sura mpya za wabunge wengu, spika na tutakuwa na sura mpya ya naibu spika. Naamini sote tukiwa imara tunaenda kuyafikia matarajio ya wananchi.
Anaefata sasa ni Tulia Ackson kupitia chama cha mapinduzi (CCM)
Tulia: Kwa taaluma mimi ni mwanasheria na nimefanya hiyo kazi kwa miaka 14, nilishiriki kutengeneza kanuni zilizoendesha bunge la katiba. Nagombea nafasi kwa sababu najiamini na nina uwezo.
Matiko: Tunatambua alikuwa naibu mwanasheria mkuu na hakupaswa kuwa mwananchama wa chama chochote, leo unaomba nafasi ya unaibu spika, ukiwa mtendaji lakini tayari unachukua upande wa CCM. Unatuaminisha vipi hautaegemea upande!
Tulia: Nilichukua fomu za kugombania uspika nikiwa naibu mwanasheria, kwa ibara ya 67(ii) na 72, anashikilia nafasi mpaka awe candidate na kuwa candidate ni mpaka upite mchakato.
Matokeo ua Uwaziri Mkuu yametoka na Bunge limempitisha rasmi Majaliwa Kassim Majaliwa kuwa Waziri mkuu kwa zaidi ya asilimia 70. Sasa Waziri Mkuu Mteule anatoa neno la shukrani. Anamshukuru Rais kwa kumteua na kusema atawatumikia watanzania wote bila kujali chama cha siasa anachotoka. Pia awashukuru wapigakura wake na wabunge pia kwa kumuamini.
Matookeo ya kura za Unaibu Spika yanasubiriwa.
Matokeo ya unaibu spika
Kura 351
Magdalena sakaya 101
Dr Tulia Mwansasu 250
Teuzi na tenguzi nyingine

- Rais Magufuli akamilisha uteuzi wa Baraza la Mawaziri, Makame Mbarawa abadilishiwa Wizara
- Ikulu, Chamwino: Rais Magufuli ateua Baraza la Mawaziri lenye Wizara 23. Aunda Wizara mpya ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari
- Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015
- Rais Magufuli amteua Ngusa Dismas Samike kuwa Mnikulu wa Ofisi ya Rais
- Uchaguzi 2020 - Bungeni: Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu, Bunge zima(Wabunge 350) wampigia kura za ndiyo
- UTEUZI: Rais Magufuli afanya uteuzi wa wenyeviti wa Bodi za TAFORI na TTB
- UTEUZI: Rais Magufuli afanya uteuzi wa Wakurugenzi watendaji wa Wilaya na Jiji
- Rais Magufuli amteua Venance Salvatory Mabeyo kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania
- Ikulu, Dar: Rais Magufuli afanya Uteuzi wa Mkuu wa Wilaya, ateua Wakurugenzi na kuhamisha wengine
- Rais Magufuli afanya Uteuzi katika Tume ya Utumishi wa Umma
- UTEUZI: Rais Magufuli afanya mabadiliko kwenye Sekta ya Afya kwa kumteua Mganga Mkuu wa Serikali, Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya
- Rais Magufuli afanya uteuzi wa Mabalozi, Wakuu wa Mikoa, Makatibu & Manaibu Katibu: Wamo Mnyeti, Mangu, Kashilila..
- UTEUZI: Rais Magufuli ateua Naibu Magavana wawili wa Benki Kuu ya Tanzania(BoT)
- Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26
- Rais Magufuli afanya uteuzi wa Wenyeviti 8 wa Bodi za Taasisi za Serikali na mtendaji 1
- Rais Magufuli amefanya uteuzi wa Makatibu Tawala wa Mikoa 26
- UTEUZI: Rais Magufuli amemteua Prof. William Anangisye kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu(HESLB)
- Rais Magufuli amteua Dkt. Willibrod Peter Slaa kuwa Balozi
- Rais Magufuli amteua Kamishna Diwani Athuman Msuya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), achukua nafasi ya Dr. Modestus Kipilimba
- Rais Magufuli amteua Robert Msalika Makungu aliyekuwa Naibu Mkurugenzi TISS kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora
- Rais Magufuli amteua Dkt. Mafumiko kuwa Mkemia Mkuu. Anachukua nafasi ya Prof. Manyele
- IKULU: Rais Magufuli amteua Dkt. Bashiru Ally Kakurwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi
- UTEUZI: Rais Magufuli amteua Bw. Athumani Selemani Mbuttuka kuwa Msajili wa Hazina
- Rais Magufuli amteua Dkt. John Jingu kuwa katibu mkuu Wizara ya Afya, Bi. Sihaba Nkinga atenguliwa
- Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Charles Mbuge kuwa Mkuu wa JKT, aliyekuwepo apelekwa Mgambo
- Rais Magufuli amteua Bw. Adolf Hyasinth Mohondela Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango(Sera)
- Rais Magufuli amteua Prof. Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania
- Rais Magufuli amteua Prof. Chibunda kuwa Makamu Mkuu chuo cha SUA
- Rais Magufuli amteua Dkt. Kipilimba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS)
- Rais Magufuli amteua Innocent Bashungwa kuwa Waziri wa Viwanda, Edwin Mhede kuwa Kamishna Mkuu TRA
- UTEUZI: Rais Magufuli amteua Meja Jenerali Yakubu Mohamed kuwa Mnadhimu Mkuu JWTZ. Awapandisha cheo Brigedia Jenerali 10
- Rais Magufuli amteua balozi mstaafu Ali Idi Siwa kuwa Mwenyekiti wa bodi ya wadhamini NSSF
- Rais Magufuli amteua Ndg. Charles E. Kichere kuwa Naibu Kamishna Mkuu TRA
- Rais Magufuli amteua Ndg. Waziri Kindamba kuwa Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa TTCL
- Uteuzi: Rais Magufuli amteua Onorius John Njole kuwa Mwandishi Mkuu wa Sheria
- Rais Magufuli amteua Dkt. Ngenya Athuman Yusuf kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania(TBS)
- Rais Magufuli amteua Dkt. Ngenya Athuman Yusuf kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania(TBS)
- Rais Magufuli amteua Ado Mapunda kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Mara
- Rais Magufuli amteua Prof. Sylvester Mpanduji Mkurugenzi SIDO
- UTEUZI: Rais Magufuli amteua Profesa Kilangi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali
- Rais Magufuli amteua Prof. Andrew Pembe kuwa Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)
- Rais Magufuli amteua Samwel Peter Kamanga kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Bima la Taifa
- Rais Magufuli amteua Mhandisi Julius Ndyamukama kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania(TAA)
- Rais Magufuli amteua Dr. Kyaruzi kuwa mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi TANESCO
- UTEUZI: Rais Magufuli amteua Anne Kilango Malecela kuwa mbunge
- Rais Magufuli amteua Gelasius Gaspar Byakanwa, kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
- Rais Magufuli amteua Mhe. Jaji Barke Mbaraka Aboud Sehel kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Ushindani
- Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
- Rais Magufuli amteua Julian Banzi Raphael kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania
- Rais Magufuli amteua Dkt. Maduhu Kazi kuwa Mkurugenzi wa TIC
- Rais Magufuli amteua Prof. Isaya Jairo kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA)
- Rais Magufuli amteua Dkt. Titus Mwinuka kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa TANESCO
- Rais Magufuli amteua Mathias Chikawe kuwa Balozi wa Tanzania nchini Japan
- Rais Magufuli amteua Julian Banzi Raphael kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania
- Rais Magufuli amteua Mhandisi Benjamin Mchwampaka kuwa Kamishna wa Madini
- UTEUZI: Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Mbungo kuwa Naibu Mkurugenzi TAKUKURU
- Rais Magufuli amteua Robert Msalika Makungu aliyekuwa Naibu Mkurugenzi TISS kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora
- UTEUZI: Rais Magufuli ateua Mwenyekiti na makamishna wa Tume ya Kurekebisha Sheria. Amteua Paul Kimiti kuwa M/Kiti wa Bodi ya NARCO
- Rais Magufuli amteua Kamishna Simon Sirro kuwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania(IGP)
- Rais Magufuli amteua Brigedia Jenerali Gabriel Sauli Mhidize kuwa Mkuu wa Bohari ya Dawa (MSD)
- Rais Magufuli amteua Bw. Dotto M. James kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango
- Uteuzi: Rais Magufuli amteua Mzee Cleopa David Msuya kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)
- Rais Magufuli amteua Prof. Makenya A. H. Maboko kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Sayansi na Teknolojia(COSTECH)
- Rais Magufuli amteua Andrew Wilson Massawe kuwa kaimu Mkurugenzi Mkuu NIDA
- Rais John Magufuli amteua Profesa Shukrani Manya kuwa Mbunge na Naibu Waziri wa Madini, baada Francis Ndulane kushindwa kuapa
- Rais Magufuli amteua Profesa Lema kuwa M/kiti wa mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania (TAA)
- Rais Magufuli amfuta kazi Kamishna wa Madini Mhandisi Mchwampaka, amteua Prof. Manya kuchukua nafasi hiyo
- Uteuzi: Rais Magufuli amteua Onorius John Njole kuwa Mwandishi Mkuu wa Sheria
- Rais Magufuli amteua RAS wa Kagera, Jaji Warioba aukwaa Ukuu wa Chuo SUA
- Rais Magufuli afanya mabadiliko: Amteua Ally Hapi kuwa RC Iringa; Jokate, Jerry Muro, Katambi wawa Wakuu wa Wilaya
- Rais Magufuli amteua Rais mstaafu, Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)
- Rais Magufuli amteua George Waitara kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya TANAPA
Last edited by a moderator: