Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Adadi Rajabu............

Adadi Rajabu............
 
Kweli Leo wananchi wana hamu kujua kitakachojiri na kati ya mambo yatakayofanya kikao cha leo kifuatiliwe sana.
(a)Jina la Wazili mkuu,hii ndiyo dira ya utendaji kazi wa raisi wetu.hii itasababisha watu waendelee kunwamini raisi au vinginevyo.
(b)ukawa wataamua nini kwa Ujio wa raisi bungeni kufuatia habari kwamba wanajiandaa kumpinga.
Haya ni baadhi ya mambo yatakayosababisha kikao cha leo kifuatiliwe na watu wengi.
Tuko pamoja
 
Dk Kashililla ameshatumwa2kulisaka jina bahasha
 
Jaman kwan kikao bado mbona updates hamna? Tupen jaman wengne tupo misituni
 
mwenye link ya kuangalia online live tujuze tafadhali maana wengine tupo vibaruani
 
Back
Top Bottom