ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 48,052
- 104,677
Hilo siwezi kulisemea kwa sasa. Tuone kwanza utendaji wake, hapo ndio tutaweza kutoa hukumu.Huoni kama hana tofauti sana na Mizengo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo siwezi kulisemea kwa sasa. Tuone kwanza utendaji wake, hapo ndio tutaweza kutoa hukumu.Huoni kama hana tofauti sana na Mizengo
Hakuna sababu nyingine yoyote ya kwa nini ni Kasim Majaliwa!. Sababu ni zile zile kama nilizozieleza humu kwa nini rais ni John Pombe Magufuli!.
Mgombea wa Urais Kwa tiketi ya CCM, 2015 "Could Be" John
Kama rais ni Joni, it is very fair waziri mkuu akiwa Juma ...Kasimu au Ali!.
Pasco
wasiwasi wangu ni kuwa Mizengo alishangiliwa sana hata zaidi ya huyu lakini mwisho wa siku tumejionea wenyewe, mimi nafikiri watanzania tuache kuwa na expectations kubwa na hawa wateule na wachaguliwa kwani mwisho wa siku wanatuangusha vibayaHilo siwezi kulisemea kwa sasa. Tuone kwanza utendaji wake, hapo ndio tutaweza kutoa hukumu.
Ona jinsi hii nchi ilivyo ya hovyo.
Huyo Kassim keshateuliwa na ndo imetoka hiyo.
Hakuna cha kuthibitishwa na kamati ya bunge wala bunge lenyewe.
Ukishateuliwa tu ndo basi.
Pinda . Wassira. Membe. Wamestaafu???
Hilo hapo mkuu
Soma gazeti la Nipashe
Tume ya Katiba, Mimi sijazungumzia dini ya mtu!, nimezungumzia tuu majina ka Rais ni Joni, then PM awe Juma!.Pasco unaijua DINI ya Kasim Majaliwa?
Kama alishatajwa kabla jina halijapelekwa bungeni na akaandikwa kwenye gazeti nini usichoelewa hapo
Baada ya Rais kupendekeza jina la Kassim Majaliwa kwa nafasi ya U-pm.
Kama atapita anaenda kuwa Waziri Mkuu wa 11 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambapo ndio atakuwa mtendaji mkuu wa shughuli zote za serikali. Waziri Mkuu akichemsha, Serikali nzima imechemsha.
Mawaziri Wakuu wengine waliomtangulia ni Jk Nyerere, RM Kawawa, EM Sokoine, Cleopa Msuya, Salim A Salim, Warioba, Malecela, Sumaye, Lowassa na Pinda.
Ipi ni top 3 ya Mawaziri Wakuu bora wa wakati wote ambao walipiga kazi iliyotukuka katika Nchi hii.
Tume ya Katiba, Mimi sijazungumzia dini ya mtu!, nimezungumzia tuu majina ka Rais ni Joni, then PM awe Juma!.
Pasco