Rungu
JF-Expert Member
- Feb 23, 2007
- 3,932
- 1,726
Hamia huko Kenya basi....Mbona nyerere aliwajaza wachaga maofisini kwa sababu walikuwa wamesoma! Kenya hamnna ujinga huo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamia huko Kenya basi....Mbona nyerere aliwajaza wachaga maofisini kwa sababu walikuwa wamesoma! Kenya hamnna ujinga huo...
Swalia alilouliza angela kairuki kuanzia leo nimemtoa thaman.Et magdalena sakaya ww ni cuf spika ni ccm sasa ukpata ucpka mtafanyaje kazi wakat vyama tofaut.
Swalia alilouliza angela kairuki kuanzia leo nimemtoa thaman.Et magdalena sakaya ww ni cuf spika ni ccm sasa ukpata ucpka mtafanyaje kazi wakat vyama tofaut.
Binafs simjui sana Kassim, ila nimefurahi kwamba limekuja jina tofauti na yaliyokuwa yanatajwa mitandaoni. Tusubiri utendaji wake ila alete suruhisho la Zanzibar bila kurudiwa kwa uchaguzi. Mshindi atangazwe
Nasubiri kumfahamu waziri wa fedha, maana taifa limeishi miaka 10 bila ya kuwa na waziri wa fedha aliyethabiti mwenye kuiongoza wizara kitaalamu na badala yake tumeona mawaziri wa fedha wakiiendesha taasisi hiyo kisiasa na kiuswaiba na hatimaye kuuvuta shati uchumi wa Taifa letu.
Ila amemjibu vzuri mno akiwa ametulia
Sisi hatuna mpango na waziri Mkuu wa ccm, tunataka maalim Seif ahudhurie Bunge Hilo kama RAIS halali wa Zanzibar.
Huyu Dr. Tulia hana uwezo kabisa wa kujieleza
Binafsi, nimefurahishwa na Jina jipya la Pm Majaliwa kujitokeza,
Nitachukizwa kama Wassira atarudi kuwa Waziri,
Nitachukizwa kama Mama Nagu atarudi kuwa waziri,
Nitafurahi kama Prof Muhongo atarudi kuwa Waziri,
Nitachukiwa kama Nyarandu atapewa Uwaziri tena,
Nimechukiwa na Ndugai kupewa Uspika.......
KICHWA KINAUMA, ACHA NIPUMZIKE KWA MUDA
Dr.Tulia ni kilaza kweli kweli,, dah hii nchi bana
miaka 10???? acha uongo mkuu kwahiyo hata "the late mgimwa" hukuona utendaji wake????