Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Swalia alilouliza angela kairuki kuanzia leo nimemtoa thaman.Et magdalena sakaya ww ni cuf spika ni ccm sasa ukpata ucpka mtafanyaje kazi wakat vyama tofaut.

Hizi ndizo akili za Wabunge wetu..
 
Binafsi, nimefurahishwa na Jina jipya la Pm Majaliwa kujitokeza,

Nitachukizwa kama Wassira atarudi kuwa Waziri,

Nitachukizwa kama Mama Nagu atarudi kuwa waziri,

Nitafurahi kama Prof Muhongo atarudi kuwa Waziri,

Nitachukiwa kama Nyarandu atapewa Uwaziri tena,

Nimechukiwa na Ndugai kupewa Uspika.......

KICHWA KINAUMA, ACHA NIPUMZIKE KWA MUDA
 
JPM ooh... mkinichagua nitaunganisha watanzania wote.

Ingekuwa hivyo basi wapinzani/UKAWA ungewapa uwaziri mkuu au basi Unaibu spika! Basi hukutoa kwa Wapinzani ugewapa hata Wazanziba! Muungano unajengwa na makamu wa Rais tu? Hata msiwape hata unaibu Spikaaaaa?!!!

Mbwembwe za kuunganisha Watanzania, kujenga umoja wa Kitaifa, zilikuwa za kupatia kura tu. Hili linathibitisha na yanayo endelea. Maziri mkuu tayari ameonekana, ana jipya?? Bado baraza la mawaziri....
 
Binafs simjui sana Kassim, ila nimefurahi kwamba limekuja jina tofauti na yaliyokuwa yanatajwa mitandaoni. Tusubiri utendaji wake ila alete suruhisho la Zanzibar bila kurudiwa kwa uchaguzi. Mshindi atangazwe

Raisi mwenyewe linamuumiza kichwa Wazili mkuu ataliweza?
 
Nasubiri kumfahamu waziri wa fedha, maana taifa limeishi miaka 10 bila ya kuwa na waziri wa fedha aliyethabiti mwenye kuiongoza wizara kitaalamu na badala yake tumeona mawaziri wa fedha wakiiendesha taasisi hiyo kisiasa na kiuswaiba na hatimaye kuuvuta shati uchumi wa Taifa letu.

miaka 10???? acha uongo mkuu kwahiyo hata "the late mgimwa" hukuona utendaji wake????
 
Kama ni just jina sawa, lakini jamaa aawachuuza wengi sana kwa jina lake. Natamani watu wajue kilicho nyuma ya pazia!!!

Tume

muweke wazi mkuu tumuelewe hata Pasco alimaanisha dini hapa
 
Last edited by a moderator:
Binafsi, nimefurahishwa na Jina jipya la Pm Majaliwa kujitokeza,

Nitachukizwa kama Wassira atarudi kuwa Waziri,

Nitachukizwa kama Mama Nagu atarudi kuwa waziri,

Nitafurahi kama Prof Muhongo atarudi kuwa Waziri,

Nitachukiwa kama Nyarandu atapewa Uwaziri tena,

Nimechukiwa na Ndugai kupewa Uspika.......

KICHWA KINAUMA, ACHA NIPUMZIKE KWA MUDA

Nitachukizwa Maghembe akiwa Waziri...

Nitafurahi Mwigulu akiwa Waziri wa Fedha.

Nitachukizwa Mwakyembe akiwa Waziri.
 
miaka 10???? acha uongo mkuu kwahiyo hata "the late mgimwa" hukuona utendaji wake????

Alibadilisha nini? unafikiri ndoo moja ya maji baridi inaweza kubadili ladha ya maji ya bahari?
 
Back
Top Bottom