Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Ha ha ha ha
Watu wa Mtwara na Lindi wote wanafanana kama wachina. Huyu Kassim mbona anafanana na Membe

Hiyo wataalam wanaiita inbreeding. Damu zatakiwa kuchanganyikaga na za kisukuma.
 
Kama uteuzi huo, nami nimeridhika sana kupachika sura mpya hakuna aliyetarajia!Hapa sidhani kama remot imetumika, endelea na mtindo huo kila idara.
 
wasiwasi wangu ni kuwa Mizengo alishangiliwa sana hata zaidi ya huyu lakini mwisho wa siku tumejionea wenyewe, mimi nafikiri watanzania tuache kuwa na expectations kubwa na hawa wateule na wachaguliwa kwani mwisho wa siku wanatuangusha vibaya
Naomba tusilinganishe uwezo wa mtu na mtu mwingine. Watu wanasema kuwa JK ni sawa na JPM, huu ni utawala mwingine. Mimi sitaki kushabikia, tumpe muda tuone.
 
Huu mfumo unakatisha tamaa hata vijana yani vigezo vinakuwa ukabila,ukanda, ujinsia,udini eti kubalance mambo na nchi !wtf! Haya angalia watu waanza kusema 2025 muislam pasipo kujua atakuwa na uwezo au vp? Mbona nyerere aliwajaza wachaga maofisini kwa sababu walikuwa wamesoma! Kenya hamnna ujinga huo km unajua unanguvu pambana sio kubalance mambo! Unamuachaje mwigulu, muhongo, mwakyembe, unamleta majaliwa ili iweje? Yawezekana leo ikawa turning point yangu kutoka ccm au kuacha kufikiria km ntaingia siasani ! Km jpm maguli ni jembe kaogopa nini kuchagua majembe menzake? Hapa kinana kaniangusha

Kachague yeye na sio wewe ! na wewe huna 'vyombo' vya kukusaidia kujua nani anafaa.
 
Dah we unazan kuunganisha nchi nikpeana Madawraka. Et ukawa wapewe uwazir mkuu shame on u .uchaguz mlishindwa na bado rais mnasema Ni wa ccm kmbe kwenye madaraka mnajua.
 
duuuu.
amebebwaaa, amebebwaaa, amebebwaaaa, amebebwaaaa, amebebwaaaaa!!!!!
 
Tulia kabanwa mbavu ni hamna!

Hajabanwa...Amepaniwa...

Kuna watu hawataki huyu dada awe Naibu Spika...

Hasa ikizingatiwa kwamba huyu dada ndio atakuwa Mshauri mkuu wa Spika...Na uendeshaji wa Bunge unahusisha sana tafsiri za kanuni na vifungu...

Kazi wanayo...
 
sasa twamtaka waziri atakayesimamia ukusanyaji wa ushuru kama kichaa bila woga wa jambo lolote
 
amebebwaaa, amebebwaaa, amebebwaaaa, amebebwaaaa, amebebwaaaaa!!!!!
 
Sasa UKAWA wamejiingiza chaka. Kuanzia leo hakutakuwa tena na ushirikiano baina ya CCN na UKAWA. UKAWA badala ya kuweka mahusiano mazuri na wana CCM....wao wanafanya kubeza na kukebehi. Sasa tunaona kazi tu.
 
Back
Top Bottom