Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Tulia ni kiazi.... Kupambwa kote huko kumbe hakuna kitu.
 
Dr Tulia safi sana unajibu maswali kwa fact big up kweli we Mwanasheria
 
Tulia mtupu kichwan

Sidhani kama yupo hivyo, ila inaonyesha amebebwa waziwazi, pamoja Na Kung'ang'ania kujieleza kisheria lakini bado hakuonyesha umahiri tulioutarajia.

Nadhani akizoea siasa Na majibu ya kisiasa ataenda nao sambamba.

Heshima kwa Sakaya, amejieleza kwa ufasaha Na amejibu maswali kiufasaha!
 
Mgombea nafasi ya uspika Tulia ameshindwa kujibu swali lini alijiunga Na ccm, Mh.Ndugai amemlinda Na kumwondoa kwenye kizimba!

Amejbu swali aliloulzwa na chichiem mwenzake tu ya ukawa ajajibu.
 
sure,kaweka mtu boya ili asifunikwe,,,short and clear

Hao ma Prof. na Ma Dr. wangemletea ujuaji mwingi ngoja achukue mwenyewe vyeo vyote viwili ili tuone madiliko ya kweli. Ninamuaminia ataweza. Mbona rais wa Nigeria uwazili wa mafuta kajipa mwenyewe ambao anajua ndio jicho la nchi? Hapa kwetu almost kila wizara mambo hayaendi vizuri. Akiwa na PM wa kawaida maamuzi mengi atayatoa yeye. Kwani mmemsahau Mzee mkapa alivyompendekeza Sumaye? Mpaka akaitwa Mr. Z
 
Ndugai anafeli mapema kabisa,Anamtetea msaidizi wake amejibu swali moja tu katika matatu aliyoulizwa,Sijui elimu yake lakini kwa haya maelezo MAGDALENA SAKAYA ni zaid ya Dr.Tulia.
Kimsingi kaulizwa maswali mawili tu, swali la Matiko na la mwisho ni swali moja, na katika kuyajibu naona alikuwa anawapa kwanza maelezo kuelekea kwenye jibu, wakawa wanamuingilia katikati wabunge wa upinzani, alichofanya Ndugai ni kuona wanapoteza muda maana kila akiwaambia wamsikilize Tulia wanaendelea kupayuka!
Upande wa sheria huyu atawakaba sana wale wanaotokaga nje, nahisi sisiemu wanaanza kumuandaa mrithi wa baada ya miaka 10 wa Ndugai! Atakuwa tayari!
 
Hao ma Prof. na Ma Dr. wangemletea ujuaji mwingi ngoja achukue mwenyewe vyeo vyote viwili ili tuone madiliko ya kweli. Ninamuaminia ataweza. Mbona rais wa Nigeria uwazili wa mafuta kajipa mwenyewe ambao anajua ndio jicho la nchi? Hapa kwetu almost kila wizara mambo hayaendi vizuri. Akiwa na PM wa kawaida maamuzi mengi atayatoa yeye. Kwani mmemsahau Mzee mkapa alivyompendekeza Sumaye? Mpaka akaitwa Mr. Z

Sumaye kuitwa Mr. Ziro ni sababu ya ile katuni ya Ziro ya gazeti la mtanzania kipindi hicho.

Katuni ya Sumaye ilkuwa inafanana na ile ya Ziro hasa masikio na umbo la kichwa na ndiyo sababu wakawa wanamwita Mr. Ziro na siyo sababu ya kuteuliwa na Mkapa.

Get your facts right
 
Hajabanwa...Amepaniwa...

Kuna watu hawataki huyu dada awe Naibu Spika...

Hasa ikizingatiwa kwamba huyu dada ndio atakuwa Mshauri mkuu wa Spika...Na uendeshaji wa Bunge unahusisha sana tafsiri za kanuni na vifungu...

Kazi wanayo...

Ni kweli tupu huyu dada amepaniwa na sijui kwanini hawataki huyu dada awe naibu spika. Kuna nini kimejificha nyuma yake?
 
Kimsingi kaulizwa maswali mawili tu, swali la Matiko na la mwisho ni swali moja, na katika kuyajibu naona alikuwa anawapa kwanza maelezo kuelekea kwenye jibu, wakawa wanamuingilia katikati wabunge wa upinzani, alichofanya Ndugai ni kuona wanapoteza muda maana kila akiwaambia wamsikilize Tulia wanaendelea kupayuka!
Upande wa sheria huyu atawakaba sana wale wanaotokaga nje, nahisi sisiemu wanaanza kumuandaa mrithi wa baada ya miaka 10 wa Ndugai! Atakuwa tayari!

Samahani atawabana akina nani,
 
Naomba tusilinganishe uwezo wa mtu na mtu mwingine. Watu wanasema kuwa JK ni sawa na JPM, huu ni utawala mwingine. Mimi sitaki kushabikia, tumpe muda tuone.

Hapa mshenga nimekukubali,time will tell watu wapunguze mihemko
 
Back
Top Bottom