Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

Huu mfumo unakatisha tamaa hata vijana yani vigezo vinakuwa ukabila,ukanda, ujinsia,udini eti kubalance mambo na nchi !wtf! Haya angalia watu waanza kusema 2025 muislam pasipo kujua atakuwa na uwezo au vp? Mbona nyerere aliwajaza wachaga maofisini kwa sababu walikuwa wamesoma! Kenya hamnna ujinga huo km unajua unanguvu pambana sio kubalance mambo! Unamuachaje mwigulu, muhongo, mwakyembe, unamleta majaliwa ili iweje? Yawezekana leo ikawa turning point yangu kutoka ccm au kuacha kufikiria km ntaingia siasani ! Km jpm maguli ni jembe kaogopa nini kuchagua majembe menzake? Hapa kinana kaniangusha

Tatizo CCM wanataka kuongoza milele lakini hawana hata succession plan. Viongozi wanaibuliwa tu then bora liende. Yaani kutoka unaibu Waziri mpaka Waziri Mkuu. Bungeni kwenyewe kaingia 2010. Nimeangalia CV ya PM kumbe naye ni mwalimu Kaungaunga mpaka Chuo!! Isije kuwa vipofu watatu wametangulizana ndiyo wanatuongoza. Kwa kweli itabidi wapate advisors wazuri sana na wawasikilize kweli kweli!!

Walimu safari hii walau hata mishahara tu waongezewe, maana nchi imeshikiliwa na Waalimu.
 
Sasa miswada haijaanza,haya mabriefcase wabunge wameweka nini,?
si ubishoo tu eti waonekane waheshimiwa..,sana utakuta pakiti za salama condom mle na viroba vya vodka kwa ajili ya kupandishia mzuka
 
Waziri mkuu ni mwanamke

E bwana wewe, usitukumbushe yaliyopita, 'Fulani' ndiye alikuwa analeta jinsia kama moja ya vigezo, matokeo yake tumeyashuhudia, mzee six ni mhanga mkuu wa mambo ya jinsia.

Tunaomba Rais Pombe aepuke mambo haya na vijisifa visivyotusaidia vya kuwaridhisha wafadhili wetu huko Duniani wakati wao wenyewe hawatumii jinsia kama kigezo.

Hebu Rais awe serious kwenye uteuzi wa watendaji wa serikali, Jinsia siyo utendaji.
 
Nadhani apewe muda zaidi na sio kubeza wkt hata ofisi hajakabidhiwa mi nadhani jambo la msingi ni kuona utendaji wake wa kazi ya u PM Ili badae tumpime kwa kile anachofanya mihemko haifai.
 
Word mkuu
 
Nasubiri kwa hamu hii habari kwenye gazeti la MWANAHALISI na UHURU.
 
Nadhani apewe muda zaidi na sio kubeza wkt hata ofisi hajakabidhiwa mi nadhani jambo la msingi ni kuona utendaji wake wa kazi ya u PM Ili badae tumpime kwa kile anachofanya mihemko haifai.

Nafasi u PM sio ya kujifunzia kazi. Unamchagua mtu kutokana na record zake za ufanyaji kazi vizuri.
 
Naomba unipe record ya Frederick Sumaye na Edward Lowassa kabla na baada ya u PM.
 
Ila bunge lina mademu wakali
Mweh!!

Huyu dada wa Tarime ni balaa ila anaonekana ni mcharuko, nilimuona Bonna Kalua siku anaapishwa 'nikazimia'! Mzuuri kwa viwango vyangu alafu ana kamzigo fulani, dah!
Hili bunge upande wa warembo, ni shiida! Wale ambao wake na wapenzi wao ni miongoni mwa hawa warembo wana wakati mgumu sana.
 
Wote mnaowataja Hawafai kabisa anaye faa kwa kasi ya Magufuli ni Mwakyembe tu. ila kwa vile rais yuko chini ya kikwete ateteuwa Mnaowataja

Watanzania kwa uzuzu unaizungumzia kasi ipi dunia ya leo haiitaji kasi inahitaji malengo na umaskini tu
Utaweza kwenda kasi kwa njia ambayo sio sahihi na kupotea (kama alivyokamata samaki) tunataka mwendo wa kawaida kwa uhakika malengo. Ma usahihi
 
Back
Top Bottom