Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
Ila bunge lina mademu wakali
Mweh!!
Mweh!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo lake ni kwamba sio mwanasiasa Na hajawai kufanya siasa,anakazi ya kuijua siasa Na siasa Zake!
Dah kuanzia mwaka huu tunaongozwa na vilazaa
Huu mfumo unakatisha tamaa hata vijana yani vigezo vinakuwa ukabila,ukanda, ujinsia,udini eti kubalance mambo na nchi !wtf! Haya angalia watu waanza kusema 2025 muislam pasipo kujua atakuwa na uwezo au vp? Mbona nyerere aliwajaza wachaga maofisini kwa sababu walikuwa wamesoma! Kenya hamnna ujinga huo km unajua unanguvu pambana sio kubalance mambo! Unamuachaje mwigulu, muhongo, mwakyembe, unamleta majaliwa ili iweje? Yawezekana leo ikawa turning point yangu kutoka ccm au kuacha kufikiria km ntaingia siasani ! Km jpm maguli ni jembe kaogopa nini kuchagua majembe menzake? Hapa kinana kaniangusha
Sasa miswada haijaanza,haya mabriefcase wabunge wameweka nini,?
si ubishoo tu eti waonekane waheshimiwa..,sana utakuta pakiti za salama condom mle na viroba vya vodka kwa ajili ya kupandishia mzukaSasa miswada haijaanza,haya mabriefcase wabunge wameweka nini,?
si ubishoo tu eti waonekane waheshimiwa..,sana utakuta pakiti za salama condom mle na viroba vya vodka kwa ajili ya kupandishia mzuka
Waziri mkuu ni mwanamke
Sasa miswada haijaanza,haya mabriefcase wabunge wameweka nini,?
E bwana wewe, usitukumbushe yaliyopita, 'Fulani' ndiye alikuwa analeta jinsia kama moja ya vigezo, matokeo yake tumeyashuhudia, mzee six ni mhanga mkuu wa mambo ya jinsia.
Tunaomba Rais Pombe aepuke mambo haya na vijisifa visivyotusaidia vya kuwaridhisha wafadhili wetu huko Duniani wakati wao wenyewe hawatumii jinsia kama kigezo.
Hebu Rais awe serious kwenye uteuzi wa watendaji wa serikali, Jinsia siyo utendaji.
Nadhani apewe muda zaidi na sio kubeza wkt hata ofisi hajakabidhiwa mi nadhani jambo la msingi ni kuona utendaji wake wa kazi ya u PM Ili badae tumpime kwa kile anachofanya mihemko haifai.
Inaelekea huna ushirikiano mzuri na vyombo vya habari...Hupendi kabisa kusoma magazeti wewe
Ila bunge lina mademu wakali
Mweh!!
Waziri mkuu ni mwanamke
Wote mnaowataja Hawafai kabisa anaye faa kwa kasi ya Magufuli ni Mwakyembe tu. ila kwa vile rais yuko chini ya kikwete ateteuwa Mnaowataja
Raisi mwenyewe linamuumiza kichwa Wazili mkuu ataliweza?