Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Amelainishwa na nini wewe?mnatumiaga akili za wapi nyinyi?Kama hoteli ina vibali vyote,hata wangevunja wangelipa mahakamani.Haaa imeisha iyoo.
Hapo Sugu kalainishwa tayari, tena ameshatoa na shukrani za dhati kwa muheshimiwa Rais ambaye awali akutambua ushindi wake.
Tuhesabu siku.
Akuna mkate mgumu mbele ya chai.
Wewe kusikia husikii basi ata kuona uoni?minakwambia apo ni siasa tu akuna cha kuvunjiwa.Amelainishwa na nini wewe?mnatumiaga akili za wapi nyinyi?Kama hoteli ina vibali vyote,hata wangevunja wangelipa mahakamani.
Akili ya kibwege; Sugu katishiwa na nani maisha yake? Mnajitoaga ufahamu kwa vijisenti mnavyopewa kuwavuruga wenye akili finyu kama nyinyi! Poleni sana!Njia ndefu ni Ile wanayotumia Tundu na lema kutafuta ukimbizi kwa kisingizio cha siasa
Mwacheni mzalendo Joseph Mbilinyi aka Sugu afanye uwekezaji kwa maslahi ya nchi yake
Na sasa ndio mtajua Sugu 98% ni bora kuliko Tundu
Kwani hapo kuna tatizo gani, kama siyo la kutengeneza? Ingekuwa ya mwana CCM wala usingesikia mtu anakohoa!Maamuzi ya kijinga hayawezi kuisha Tanzania maamuzi kama haya ya NEMC yataishia hapo. NEMC should not get off lightly.
NEMC lazima watolee maelezo kwa nini walioruhusu ujenzi na walirusu lazima wachukuliwe hatua kama bado wapo kazini!!
Hii kusema Mh rais kasitisha ni zuri lakini sio suluisho la matatizo kama haya!!
Mkuu usiwe unalazimisha mambo 0 huyu ni sugu mfanya biashara ya hotel siyo yule mwanaharakati 0uwe unaelewaHaaa imeisha iyoo.
Hapo Sugu kalainishwa tayari, tena ameshatoa na shukrani za dhati kwa muheshimiwa Rais ambaye awali akutambua ushindi wake.
Tuhesabu siku.
Akuna mkate mgumu mbele ya chai.
Sasa ndio umeandika nini?Akili ya kibwege; Sugu katishiwa na nani maisha yake? Mnajitoaga ufahamu kwa vijisenti mnavyopewa kuwavuruga wenye akili finyu kama nyinyi! Poleni sana!
Inawezekana Magu anapitia kampeni kali za Tundu Lissu. Ni kama anataka kujiunda upya. Lakini pia kipindi hiki tumeona akina Warioba na Msekwa wakisimamia wanachokiamini na kukijua, na kuachana na mapambio kwa JPM. Hatujasikia bado mtu akihojiwa uraia wake. Inawezekana haka ka ushuzi ka uraia ndio kameisha, ila ni busara tuvute subira kwanza.Mpe hongera Magufuli sasa, mbona unajifanya hilo nalo hulioni eti kwa sababu tu wewe ni kamanda uchwara?
Tunakemea mbinu zote chafu za kujaribu kuua upinzani! Atakufa yeye kwanza kabla upinzani haujafa!Inawezekana Magu anapitia kampeni kali za Tundu Lissu. Ni kama anataka kujiunda upya. Lakini pia kipindi hiki tumeona akina Warioba na Msekwa wakisimamia wanachokiamini na kukijua, na kuachana na mapambio kwa JPM. Hatujasikia bado mtu akihojiwa uraia wake. Inawezekana haka ka ushuzi ka uraia ndio kameisha, ila ni busara tuvute subira kwanza.
Wengi walibomolewa miradi yao miaka 5 ya kwanza ya Magu, mfano Mbowe, ma ni sehemu ya mkakati wa kuua upinzani. Mbinu zimebadilika? Muda utasema
Inawezekana Magu anapitia kampeni kali za Tundu Lissu. Ni kama anataka kujiunda upya. Lakini pia kipindi hiki tumeona akina Warioba na Msekwa wakisimamia wanachokiamini na kukijua, na kuachana na mapambio kwa JPM. Hatujasikia bado mtu akihojiwa uraia wake. Inawezekana haka ka ushuzi ka uraia ndio kameisha, ila ni busara tuvute subira kwanza.
Wengi walibomolewa miradi yao miaka 5 ya kwanza ya Magu, mfano Mbowe, ma ni sehemu ya mkakati wa kuua upinzani. Mbinu zimebadilika? Muda utasema
Akuna jambo nimelazimisha apo kwenye nilichoandika.Mkuu usiwe unalazimisha mambo 0 huyu ni sugu mfanya biashara ya hotel siyo yule mwanaharakati 0uwe unaelewa
Nime kuja kugundua kitu kuna mahusiano makubwa sana kati ya CCM na ujinga, simtukani mtu ila huo ndio ukweli tujitahidi sana kuwapa ndugu zetu somo. madhara ya kukubali kumtegemea mtu kua kinga yako ndio hayo nilazima uwe kama zombie kila kitu unashabikia tuwasaidie wenzetu.Sugu hongera. Umewekeza....siyo yule mchaga aliekimbia ugumu wa maisha maana hakuwekeza. Wabunge mjifunze. Asante JPM kwa kuokoa uwekezaji wa Sugu. Sugu kaajiri wengi sana.
Ndio hivyo mkuuHapa Jiwe anatuonesha kua yeye ndo kila kitu akiamua itabomolewa naasipoamua haitabomolewa...kazi kweli kweli alichokua anakitaka tu ashukuriwe.
Nime kuja kugundua kitu kuna mahusiano makubwa sana kati ya CCM na ujinga, simtukani mtu ila huo ndio ukweli tujitahidi sana kuwapa ndugu zetu somo. madhara ya kukubali kumtegemea mtu kua kinga yako ndio hayo nilazima uwe kama zombie kila kitu unashabikia tuwasaidie wenzetu.Sugu hongera. Umewekeza....siyo yule mchaga aliekimbia ugumu wa maisha maana hakuwekeza. Wabunge mjifunze. Asante JPM kwa kuokoa uwekezaji wa Sugu. Sugu kaajiri wengi sana.
Nime kuja kugundua kitu kuna mahusiano makubwa sana kati ya CCM na ujinga, simtukani mtu ila huo ndio ukweli tujitahidi sana kuwapa ndugu zetu somo. madhara ya kukubali kumtegemea mtu kua kinga yako ndio hayo nilazima uwe kama zombie kila kitu unashabikia tuwasaidie wenzetu.Sugu hongera. Umewekeza....siyo yule mchaga aliekimbia ugumu wa maisha maana hakuwekeza. Wabunge mjifunze. Asante JPM kwa kuokoa uwekezaji wa Sugu. Sugu kaajiri wengi sana.
Haka mbinu anakapenda Sana huyu jiwe.Angezuia na billicanas isivunjwe au ndio anajisafisha kwa wananchi tumuone mpenda haki na mwenye huruma.....
Maisha lazima yaendelee. Rais ndo huyo hata mkipinga haisaidii. Maisha tunayoishi ndo haya haya.Si kwamba tunafanya rehearsal eti baadae ndo tuishi.Nime kuja kugundua kitu kuna mahusiano makubwa sana kati ya CCM na ujinga, simtukani mtu ila huo ndio ukweli tujitahidi sana kuwapa ndugu zetu somo. madhara ya kukubali kumtegemea mtu kua kinga yako ndio hayo nilazima uwe kama zombie kila kitu unashabikia tuwasaidie wenzetu.