Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

Haaa imeisha iyoo.

Hapo Sugu kalainishwa tayari, tena ameshatoa na shukrani za dhati kwa muheshimiwa Rais ambaye awali akutambua ushindi wake.
Tuhesabu siku.

Akuna mkate mgumu mbele ya chai.
Amelainishwa na nini wewe?mnatumiaga akili za wapi nyinyi?Kama hoteli ina vibali vyote,hata wangevunja wangelipa mahakamani.
 
Wewe kusikia husikii basi ata kuona uoni?minakwambia apo ni siasa tu akuna cha kuvunjiwa.

Toa mfano mmoja tu,nani alivunjiwa kwenye utawala huu akalipwa mahakamani?
 
Maamuzi ya kijinga hayawezi kuisha Tanzania maamuzi kama haya ya NEMC yataishia hapo. NEMC should not get off lightly.
NEMC lazima watolee maelezo kwa nini walioruhusu ujenzi na walirusu lazima wachukuliwe hatua kama bado wapo kazini!!
Hii kusema Mh rais kasitisha ni zuri lakini sio suluisho la matatizo kama haya!!
 
Njia ndefu ni Ile wanayotumia Tundu na lema kutafuta ukimbizi kwa kisingizio cha siasa
Mwacheni mzalendo Joseph Mbilinyi aka Sugu afanye uwekezaji kwa maslahi ya nchi yake
Na sasa ndio mtajua Sugu 98% ni bora kuliko Tundu
Akili ya kibwege; Sugu katishiwa na nani maisha yake? Mnajitoaga ufahamu kwa vijisenti mnavyopewa kuwavuruga wenye akili finyu kama nyinyi! Poleni sana!
 
Maamuzi ya kijinga hayawezi kuisha Tanzania maamuzi kama haya ya NEMC yataishia hapo. NEMC should not get off lightly.
NEMC lazima watolee maelezo kwa nini walioruhusu ujenzi na walirusu lazima wachukuliwe hatua kama bado wapo kazini!!
Hii kusema Mh rais kasitisha ni zuri lakini sio suluisho la matatizo kama haya!!
Kwani hapo kuna tatizo gani, kama siyo la kutengeneza? Ingekuwa ya mwana CCM wala usingesikia mtu anakohoa!
 
Haaa imeisha iyoo.

Hapo Sugu kalainishwa tayari, tena ameshatoa na shukrani za dhati kwa muheshimiwa Rais ambaye awali akutambua ushindi wake.
Tuhesabu siku.

Akuna mkate mgumu mbele ya chai.
Mkuu usiwe unalazimisha mambo 0 huyu ni sugu mfanya biashara ya hotel siyo yule mwanaharakati 0uwe unaelewa
 
Akili ya kibwege; Sugu katishiwa na nani maisha yake? Mnajitoaga ufahamu kwa vijisenti mnavyopewa kuwavuruga wenye akili finyu kama nyinyi! Poleni sana!
Sasa ndio umeandika nini?
Kabla hujatoa pole na akili zako za kibwege hebu weka sawa kwanza ni nani kasema Sugu ametishiwa? Nani amepewa vijisenti? Nani anavuruga wenye akili finyu?
 
Mpe hongera Magufuli sasa, mbona unajifanya hilo nalo hulioni eti kwa sababu tu wewe ni kamanda uchwara?
Inawezekana Magu anapitia kampeni kali za Tundu Lissu. Ni kama anataka kujiunda upya. Lakini pia kipindi hiki tumeona akina Warioba na Msekwa wakisimamia wanachokiamini na kukijua, na kuachana na mapambio kwa JPM. Hatujasikia bado mtu akihojiwa uraia wake. Inawezekana haka ka ushuzi ka uraia ndio kameisha, ila ni busara tuvute subira kwanza.

Wengi walibomolewa miradi yao miaka 5 ya kwanza ya Magu, mfano Mbowe, ma ni sehemu ya mkakati wa kuua upinzani. Mbinu zimebadilika? Muda utasema
 
Tunakemea mbinu zote chafu za kujaribu kuua upinzani! Atakufa yeye kwanza kabla upinzani haujafa!
 
Inawezekana Magu anapitia kampeni kali za Tundu Lissu. Ni kama anataka kujiunda upya. Lakini pia kipindi hiki tumeona akina Warioba na Msekwa wakisimamia wanachokiamini na kukijua, na kuachana na mapambio kwa JPM. Hatujasikia bado mtu akihojiwa uraia wake. Inawezekana haka ka ushuzi ka uraia ndio kameisha, ila ni busara tuvute subira kwanza.

Wengi walibomolewa miradi yao miaka 5 ya kwanza ya Magu, mfano Mbowe, ma ni sehemu ya mkakati wa kuua upinzani. Mbinu zimebadilika? Muda utasema

Jiwe limekuwa la baridi Sana labda civilization imeanza fanya kazi
 
Mkuu usiwe unalazimisha mambo 0 huyu ni sugu mfanya biashara ya hotel siyo yule mwanaharakati 0uwe unaelewa
Akuna jambo nimelazimisha apo kwenye nilichoandika.
Bionyeshe wapi nimelazimisha?
 
Sugu kawa mkate mgumu mbele ya chai? Kudadadeki, tusubiri hii wiki inayoanza kesho, dogo atakuja kwenye redio ama TV huku akibubujikwa na machozi kutaka kurudi CCM akamsaidie rais kujenga nchi. Tanzania hatuna wapinzani wa ukweli, wapinzani walijiharibu wenyewe kitambo.
 
Tunampongeza Rais wetu anayewajali na kuwalinda wawekezaji wa NDANI bila kujali vyama vyao,
Ila sasa ilikuwa inataka kubomolewa kwa mujibu wa sheria au kwa bifu za Kisiasa na kukomoana?

Sasa Rais wetu mpendwa akimaliza muda wake 2025 tunajuaje kama anayekuja hataendeleza hiyo nia mbaya ya kubomoa Hoteli hiyo? Kwa nini Bunge letu tukufu lisitunge sheria KALI ya kuwalinda wawekezaji wa NDANI zikiwepo NGOs, Viwanda au Makampuni na kuwashughulikia watu wenye nia mbaya ya kuwakwamisha wawekezaji?
Mungu alivyo mwema, Wizra ya uwekezaji ipo chini ya Rais na Waziri wake ni Professor-who knows better about investment opportunities in the country.
Hongera RC,
Asante Rais wetu--mtetezi wa wanyonge
 
Sugu hongera. Umewekeza....siyo yule mchaga aliekimbia ugumu wa maisha maana hakuwekeza. Wabunge mjifunze. Asante JPM kwa kuokoa uwekezaji wa Sugu. Sugu kaajiri wengi sana.
Nime kuja kugundua kitu kuna mahusiano makubwa sana kati ya CCM na ujinga, simtukani mtu ila huo ndio ukweli tujitahidi sana kuwapa ndugu zetu somo. madhara ya kukubali kumtegemea mtu kua kinga yako ndio hayo nilazima uwe kama zombie kila kitu unashabikia tuwasaidie wenzetu.
 
Maisha lazima yaendelee. Rais ndo huyo hata mkipinga haisaidii. Maisha tunayoishi ndo haya haya.Si kwamba tunafanya rehearsal eti baadae ndo tuishi.
Siku ikupita imepita .Hivyo basi gubu la nini?
 
Back
Top Bottom