Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 3,626
- 3,869
Amelainishwa na nini wewe?mnatumiaga akili za wapi nyinyi?Kama hoteli ina vibali vyote,hata wangevunja wangelipa mahakamani.Haaa imeisha iyoo.
Hapo Sugu kalainishwa tayari, tena ameshatoa na shukrani za dhati kwa muheshimiwa Rais ambaye awali akutambua ushindi wake.
Tuhesabu siku.
Akuna mkate mgumu mbele ya chai.