Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

Mwenye hotel ni lazima ni msukuma/ mfadhili mkuu wa chama cha Jiwe!
Sio Msukuma ni Sugu wa Chadema.

Ukiwa msukuma huwezi bomolewa wwe ni mpiga kura ukuona wa Kanda ya ziwa hawakubomolewa
 
Lengo ilikuwa kumukomoa Sungu sababu ni mpinzani
 
Fidia huwa hawalipi
 
Hotel Desderia si ndio ya Sugu? Hivi wakimvunjia wanapata faida gani zaidi ya kumtia hasara mwenye hoteli pamoja na kuwafanya watu wapoteze ajira zso na serikali kukosa kodi?
Mkuu wa mkoa ashapinga hilo
Kweli tumpe pongezi RC na rais kwa kuzuia hilo
Maana mbona wakati inajengwa alifata taratibu zote

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Nemc wanafanyaga mambo ya ajabu sana tu

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
 
Asante mhe. Rais, ngoja sasa tuwasikie wazee wa kupinga wanasemaje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…