Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

Jf imeanza kupoteza ladha kwa kufuta futa nyuzi
Mimi ninapowalaani kila siku mnaniona kidudumtu mpaka yawakute nyie! Niliweka habari inayowahusu watanzania lakini wakaitupa kwenye kimataifa, kosa kunajina la nchi jirani! China wakiisifu CCM habari hiyo haitupwi kwenye kimataifa, kisa inawahusu.
 
Nemc hivi wanajielewa kweli ifike hatua mambo ya kipumbavu wasiwe wanatueleza
Yaan mtu anunue eneo wanamuangalia tu aanze kujenga wanamtazama tu amalize ujenzi wapo tu then wanakuja kutueleza mtu yupo ndani ya hifadhi ya maji
Siku zote walikua wapi
Na je inafaida gani kuita vyombo vya habari na kutueleza hayo
Sisi watanzania wengine hatutaki uiinga huo wamalizane wenyewe huko
Usitokwe povu mkuu!, Hii ni movie na wahusika wote wanajua wanachokifanya.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Just being curious:
1. Ile ya Mbowe bado ipo?
2. Lissu alishawekeza cho chote nchini hapa?

Sugu karibu ccm Mwekezaji Sugu, tuijenge nchi yetu. Maendeleo hayana chama.
 
Shangazi yako kawekeza Ohio au Kinondoni?
 
Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote

Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye uoto wa asili yaani pembezoni mwa mto hivyo kulikuwa na mpango wa kuibomoa

Kwa ufupi Rais amesisitiza hilo eneo limepimwa na linafahamika,Watu wa mazingira yaani NEMC wanalifahamu vizuri

Mkuu wa mkoa ameonyesha jinsi Sugu anavyolinda mazingira ya mto huo huku maji yakitiririka na kumiminika

Aidha Bwana SUGU amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuhakikishia hilo na kujenga imani kwa wawekezaji wengine

Maendeleo hayana chama

Upuuzi Kama huu,yaani wanatengeneza tatizo,harafu wanalitatua wenyewe,harafu wanataka tushangilie.
 
Muda sii mrefu sugu ataunga juhudi maana ataitwa kimya kimya aulizwe"unaungana nasi au hutaki?:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi Kama huu,yaani wanatengeneza tatizo,harafu wanalitatua wenyewe,harafu wanataka tushangilie.
Tusiyoyajua mkuu.

Itashangaza kidogo kama Sugu kalainishwa kiaina...; lakini nashindwa kuamini kwamba Sugu anaweza kulainishwa. Tusubiri muda utasema.
 
Lakini huyo ni
Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote

Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye uoto wa asili yaani pembezoni mwa mto hivyo kulikuwa na mpango wa kuibomoa

Kwa ufupi Rais amesisitiza hilo eneo limepimwa na linafahamika,Watu wa mazingira yaani NEMC wanalifahamu vizuri

Mkuu wa mkoa ameonyesha jinsi Sugu anavyolinda mazingira ya mto huo huku maji yakitiririka na kumiminika

Aidha Bwana SUGU amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuhakikishia hilo na kujenga imani kwa wawekezaji wengine

Maendeleo hayana chama

CHADeMA lazima hoteli ivvunjwe na apewe kosa la uhujumu uchumi
 
Tusiyoyajua mkuu.

Itashangaza kidogo kama Sugu kalainishwa kiaina...; lakini nashindwa kuamini kwamba Sugu anaweza kulainishwa. Tusubiri muda utasema.
Hapa Kuna game linachezwa,Lumumba wanamtumia Mh Sugu ishara kwamba,tumekufikia,yaani hata nje ya bunge tukitaka kukubananisha tunaweza,
Hii nchi,badala ya CCM kutatua kero kibao zilizojaa,hata vyumba vya madarasa ya shule za msingi hatuna vya kutosha,Tena kiwango Cha saint kayumba,!!Lumumba,wanaendekeza ubabe usio na tija.
 
Back
Top Bottom