Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

Jf imeanza kupoteza ladha kwa kufuta futa nyuzi
Mimi ninapowalaani kila siku mnaniona kidudumtu mpaka yawakute nyie! Niliweka habari inayowahusu watanzania lakini wakaitupa kwenye kimataifa, kosa kunajina la nchi jirani! China wakiisifu CCM habari hiyo haitupwi kwenye kimataifa, kisa inawahusu.
 
Unafikiri wanajali basi!!! Alishughulikiwa manji aliyekuwa ametoa ajira almost elfu ishirini ije kuwa sugu?

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Nilifanya environment appraisal ya hii hotel far back 2011 na NEMC haohao waliaprove na ikapewa mkopo na benki.
Kutaka kuivunja ni uchawi wa nchi hii ambao ni ujinga wa hali ya juu.
2011 siasa za visasi zilikuwa hazijaanza

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Usitokwe povu mkuu!, Hii ni movie na wahusika wote wanajua wanachokifanya.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Just being curious:
1. Ile ya Mbowe bado ipo?
2. Lissu alishawekeza cho chote nchini hapa?

Sugu karibu ccm Mwekezaji Sugu, tuijenge nchi yetu. Maendeleo hayana chama.
 
Just being curious:
1. Ile ya Mbowe bado ipo?
2. Lissu alishawekeza cho chote nchini hapa?

Sugu karibu ccm Mwekezaji Sugu, tuijenge nchi yetu. Maendeleo hayana chama.
Shangazi yako kawekeza Ohio au Kinondoni?
 
Upuuzi Kama huu,yaani wanatengeneza tatizo,harafu wanalitatua wenyewe,harafu wanataka tushangilie.
 
Muda sii mrefu sugu ataunga juhudi maana ataitwa kimya kimya aulizwe"unaungana nasi au hutaki?:

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Upuuzi Kama huu,yaani wanatengeneza tatizo,harafu wanalitatua wenyewe,harafu wanataka tushangilie.
Tusiyoyajua mkuu.

Itashangaza kidogo kama Sugu kalainishwa kiaina...; lakini nashindwa kuamini kwamba Sugu anaweza kulainishwa. Tusubiri muda utasema.
 
Lakini huyo ni
CHADeMA lazima hoteli ivvunjwe na apewe kosa la uhujumu uchumi
 
Tusiyoyajua mkuu.

Itashangaza kidogo kama Sugu kalainishwa kiaina...; lakini nashindwa kuamini kwamba Sugu anaweza kulainishwa. Tusubiri muda utasema.
Hapa Kuna game linachezwa,Lumumba wanamtumia Mh Sugu ishara kwamba,tumekufikia,yaani hata nje ya bunge tukitaka kukubananisha tunaweza,
Hii nchi,badala ya CCM kutatua kero kibao zilizojaa,hata vyumba vya madarasa ya shule za msingi hatuna vya kutosha,Tena kiwango Cha saint kayumba,!!Lumumba,wanaendekeza ubabe usio na tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…