Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

Fidia huwa hawalipi

Kweli kabisa fidia hawa hawalipi; mimi nina Madai yangu serikalini kutokana na hukumu ya mahakama kuu toka 2012! Mpaka leo nazungushwa; vijana wanataka rushwa na mimi nimekomaa nao sitaki kuwapa mwishowe ni lazima nitawachukulia hela za PCB ndio wakome!!
 
Ninakubaliana nawe sehemu kubwa; kasoro hiyo ya "Lumumba".
 
Unafiki tu, wanatengeneza tatizo halafu wanalitatua ili wapate sifa.
 
Mbegu aliyopanda magufuli inaota kwa kasi sana
 
Nilifanya environment appraisal ya hii hotel far back 2011 na NEMC haohao waliaprove na ikapewa mkopo na benki.
Kutaka kuivunja ni uchawi wa nchi hii ambao ni ujinga wa hali ya juu.

Mkuu naomba kuja PM tafadhali.
EIA Expert issues.
 
Aone "kuwa ni tatizo"?

Mkuu nadhani huelewi yeye ni mtu wa aina gani. Vitu kama hivi ndivyo anavyopenda ili kujizolea sifa kwa wasiojua kitu.
Umepigilia msumari panapotakiwa. Hizi ndiyo show off zake anazozipenda. Anataka kila raia aishi kwa kudra zake.
 
Mfumo tuliorithi kutoka mashariki ya China, siasa za Ujamaa. Yaani kumbe mbegu za mrengo hazifi, kha, ujamaa umejaa fitna Sana!
 
Shangazi yako kawekeza Ohio au Kinondoni?
Shangazi yangu hajawahi kupata hiyo fursa ya kuwa mbunge kwa miaka 15 mfululizo au kuwa mtetezi wa kampuni ya acasia. Tunachoshangaa ni mtu aliyewahi kupata fursa kama hizo lakini hana cho chote alichowekeza hapa nchini na baada ya kukosa kuendelea na fursa hizo anaamua kuishi maisha ya ukimbzi nje ya nchi.
 
Sugu hongera. Umewekeza....siyo yule mchaga aliekimbia ugumu wa maisha maana hakuwekeza. Wabunge mjifunze. Asante JPM kwa kuokoa uwekezaji wa Sugu. Sugu kaajiri wengi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…