Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo hapo inabidi amwabudu sana Magu, kwamba bila yeye hotel inabomolewa.
Hii nchi ni takataka, imejaa vibwengo wanaopenda kuabudiwa sana.
Kama kweli sawa,naendelea kuwaombea kwa Allah muwe halisi na hata chembe ya unafiki isiwe ndani yenu.Halisi kabisa mkuu
Usipate taabu, wanasubiri wasikie makamanda wa CDM wanasema nini ili kwao iwe habari!Naomba kuuliza kama nyie watu mko halisi.
Wewe ni sehemu ya watu wapumbavu.Ndugu Yangu Suguuu!
Jifunze kuwa na Diplomasia ya Kiafrika, Umeingia kwenye biashara sharti uachane na Uanaharakati hizo mbwembwe zako za kuanza Kujidai Oooooooh Makaratasi yote ninayo hazina mantiki wala tija yoyote just play low brother huwezi pungukiwa na kitu. Achana na jeuri, Ubabe na Uanaharakati chagua kimoja. Tunajua Wanyaki ni Jeuri lkn ukiendekeza hizo swagga zako za Kijuaji ippo siku utabaki na makaratasi yako na hoteli imevunjwaaaa.
Ni hayo tuuuu, we endelea kujimwambafai ooooh makaratasi yote ninayo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijawahi kumwamini binadamuHivi mnafahamu gharama za walau nyumba ya ghorofa moja ya uhakika?Siyo chini ya TZS300M.Rais ameguswa na hiyo hasara.
Vipi kuhusu matokeo ya uchaguzi? Ameyakubali? Hakuibiwa kura kama makamanda wanavyodai?Shukrani hizo zimekuja baada ya mheshimiwa rais kumtuma mkuu wa mkoa wa Mbeya kuzuia ubomoaji wa hoteli ya Desderia iliyokua inadaiwa ujengwa eneo la chanzo cha maji
Rais Magufuli amesema Sugu kama muwekezaji aliyeamua kuwekeza mbeya pia apewe kipaumbele kwenye maeneo mengine ya uzunguni aweze kuendeleza uwekezaji
Maendeleo hayana vyama
Marais wanapeana pongezi kwa uwekezaji na shukrani kwa kuulinda uwekezajiSugu Rais wa Mbeya amshkuru JPM.
Hata Sisi hatukumuamini Lissu Vile VileSijawahi kumwamini binadamu
Uchaguzi ulishaishaVipi kuhusu matokeo ya uchaguzi?
Unashangilia Udhalimu ....Kuna watu mnaunasaba na Shetani aisee!Haaa imeisha iyoo.
hapo Sugu kalainishwa tayari,tena ameshatoa na shukrani za dhati kwa muheshimiwa Rais ambae awali akutambua ushindi wake.
Tuhesabu siku.
Akuna mkate mgumu mbele ya chai.
Kwa kibeberu wanaita one man showHii hali ya maamuzi mengi tena mengine madogo madogo kufanywa na rais inaonyesha nchi iko kwenye hali mbaya sana. Rais amekuwa ndiye Katiba na sheria za nchi. Kwa nini nchi imeingia kwenye mtego mbaya namna hii? Kila kitu anaangaliwa rais. Hivi hata yeye haoni kuwa ni tatizo kubwa sana? Tumepata hasara kubwa sana.
Hakuna kisicho na mapungufu, na hakuna kinachoweza kuzuia personal vendetta kwenye life except system interventionMagufuli apewe hongera badala ya kuangalia mapungufu ya sheria?
Nimependa Sugu Rais wa Mbeya alivyo nyenyekea kwa Rais mwenzie.Marais wanapeana pongezi kwa uwekezaji na shukrani kwa kuulinda uwekezaji
Maendeleo hayana vyama
Kwani Chadema wanatambua matokeo?Uchaguzi ulishaisha