Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

Kwahiyo hapo inabidi amwabudu sana Magu, kwamba bila yeye hotel inabomolewa.

Hii nchi ni takataka, imejaa vibwengo wanaopenda kuabudiwa sana.

Ingebomolewa ungesema ni uonevu sasa haijabomolewa unatukana. Hivi ulitaka nini haswa?

Rais wetu ni wa kila chama, kila kabila, kila dini, kila rangi, kila mkoa

Nchi yetu sio takataka mkuu ila mawazo yako uliyoyaandika hapa ndio takataka
 
Wewe ni sehemu ya watu wapumbavu.

Sugu siyo mnyakyusa, hakuna mnyakyusa anaitwa Mbilinyi.

Na mtu makaratasi anayo wewe ulitaka aseme vipi?

Ukijisikia kujambajamba nenda Facebook na siyo JF.
 
Vipi kuhusu matokeo ya uchaguzi? Ameyakubali? Hakuibiwa kura kama makamanda wanavyodai?
 
Create the problem then solve it. Aliyemwagiza aibomoe ndye aliteagiza isibomolewe. Fulstop
 
Haaa imeisha iyoo.
hapo Sugu kalainishwa tayari,tena ameshatoa na shukrani za dhati kwa muheshimiwa Rais ambae awali akutambua ushindi wake.
Tuhesabu siku.
Akuna mkate mgumu mbele ya chai.
Unashangilia Udhalimu ....Kuna watu mnaunasaba na Shetani aisee!
 
Kwa kibeberu wanaita one man show
 
Magufuli apewe hongera badala ya kuangalia mapungufu ya sheria?
Hakuna kisicho na mapungufu, na hakuna kinachoweza kuzuia personal vendetta kwenye life except system intervention

Magufuli hawezi Tu kutoa tamko, system.imempa taarifa nzuri

Kinachosikitisha ni Kwamba hata vitu vidogo kama.uwekezaji wa hotel unahitaji intervention ya core system

Sielewi

Nimependa mkuu wa mkoa alivyodeliver message
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…