Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

Nilifanya environment appraisal ya hii hotel far back 2011 na NEMC haohao waliaprove na ikapewa mkopo na benki.
Kutaka kuivunja ni uchawi wa nchi hii ambao ni ujinga wa hali ya juu.
Hata rais ameona hilo
 
Ingebomolewa ungesema ni uonevu sasa haijabomolewa unatukana. Hivi ulitaka nini haswa?

Rais wetu ni wa kila chama, kila kabila, kila dini, kila rangi, kila mkoa

Nchi yetu sio takataka mkuu ila mawazo yako uliyoyaandika hapa ndio takataka
Yani mtu anapinga mpaka hajielewi anachopinga...
 
Ulitaka ajibu kivipi?? Mbona maccm mmekaa kiboyaa??
Wenzie Sugu Lema na Lissu walikimbia eti walitaka kuliwa.
Ona sasa Sugu alijipanga vizuri maisha tanaendelea nje ya ubunge shavu limezidi kutuna na Rais kamtambua kama invester.
 
Si ajabu huyo RC ndio engineer wa kutaka hiyo hotel ibomolewe.
 
Nadhani watendaji wengi sana ni vichaa, hotel kama ile huwezi kujenga bila kufanya Enviromental and Social Impact assessment kama NEMC walipitisha, washtakiwe kwa kutaka kuihujumu nchi walikuwa wanamtaka sugu awe multi billionaire kwa kodi zetu...so sad kuna watu wapo wanafanya mambo kwa ajili ya kutaka kukomoa wanasiasa wa upinzani, happened to mbowe kwenye mashamba yake n.k
 
Huenda sijasikia vyema kwenye TV. Tusilazimishe kusifia Mhe Rais kwa mambo madogo kama haya. Sugu kasema wakazi Wanajenga alifuata taratibu zote na kupata Kibali cha kujenga. Na Viongozi wote wataalam walikuja site visits na kusaini vitabu. So alijiamini kwamba huo usahihi alichoufanya asingeweza bomolewa, labda ilazimishwe kuvunjwa sala ambalo Rais wetu hawezi Fanya hivyo.
 
Nchi hii kuna mambo mengi sana ya kijinga yanafanyika,hao NEMC Mbeya wachunguzwe ikibidi watimbuliwe tu,huu ni upumbavu na ujinga sana........
 
Wewe ni sehemu ya watu wapumbavu.

Sugu siyo mnyakyusa, hakuna mnyakyusa anaitwa Mbilinyi.

Na mtu makaratasi anayo wewe ulitaka aseme vipi?

Ukijisikia kujambajamba nenda Facebook na siyo JF.
Una msongo wa Mawazo unatakiwa upate tiba, tafuta pessa ukatibiwe Mkuu maaana stress ulizonazo zitakuja kufanya ujiue ama ufungwe kifungo cha kukatisha kabisa ustawi wako, acha na mambo ya harakati uchwara wakati mfukoni huna kitu.
Comments zako hapa JF kila memba unamtukana matusi ya nguoni, mara mpumbavu nk nk.
Take my words usijilaumu kwa malezi mabaya uliyopata huenda mamao alibakwa akakupata so anza kurekebisha kizazi chako wasipitiwe na msongo wa mawazo ulionao.
Ignore me pls
 
Nchi ambayo haijali sheria, bali rais ndio anaamua sheria zitekelezwe vipi.
Mambo kama hayo ya kutofuata taratibu na mtu mmoja kuamua kuwa juu ya katiba yakifanyika kwenye vyama vyenu vya siasa hamkemei ndio kwanza mnashabikia tu.
 
Yaani Sugu amefuata taratibu na sheria zote kujenga hoteli yake, leo anaonekana shujaa yule aliesema hoteli isibomolewe, na chakushangaza zaidi, wavivu wa kifikiria wanamuona shujaa alietoa tamko hoteli isibomolewe!.

Naona kama taifa tunaanza kurudi nyuma sasa, sio kiuchumi na mambo mengine kama utawala bora, bali hata uwezo wetu wa kufikiri nao umeathiriwa na awamu hii ya tano.
 
Ni jambo jema!

Sugu alishakiri kwamba anamuunga mkono Rais Magufuli kwa 100%!
Siyo kweli, Jiwe linatafuta kick tu, Sugu kasema hotel imejengwa kwa kufuata vibali vyote. Na kama hao mburula wangeamua kuvunja ni ukweli husiotia shaka Sugu angefungua kesi mahakamani na hata mahakama ingemuabudu Jiwe kuna siku haki ingetendeka tu, bila shaka lingekuwa swala la muda tu. Kwani Jiwe ni nani bhana? Angekaa madarakani muda wote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…