NAWATAFUNA
JF-Expert Member
- Nov 14, 2019
- 13,284
- 24,047
Uchaguzi ulishaisha na Sugu kwa mara ya kwanza ametambua Urais wa JPM.Uchaguzi ulishaisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchaguzi ulishaisha na Sugu kwa mara ya kwanza ametambua Urais wa JPM.Uchaguzi ulishaisha
Hata rais ameona hiloNilifanya environment appraisal ya hii hotel far back 2011 na NEMC haohao waliaprove na ikapewa mkopo na benki.
Kutaka kuivunja ni uchawi wa nchi hii ambao ni ujinga wa hali ya juu.
Yani mtu anapinga mpaka hajielewi anachopinga...Ingebomolewa ungesema ni uonevu sasa haijabomolewa unatukana. Hivi ulitaka nini haswa?
Rais wetu ni wa kila chama, kila kabila, kila dini, kila rangi, kila mkoa
Nchi yetu sio takataka mkuu ila mawazo yako uliyoyaandika hapa ndio takataka
Wenzie Sugu Lema na Lissu walikimbia eti walitaka kuliwa.Ulitaka ajibu kivipi?? Mbona maccm mmekaa kiboyaa??
Huruma sana kwakeYani mtu anapinga mpaka hajielewi anachopinga...
Kwahiyo hujaelewa chochote hapo.Duuuuuuh!!Ni ya nani? Iko sehemu gani?
Ifanye taarifa yako iwe kamilifu...
Udhalimu upi apo na wakati ni siasa zinachezwa hapo?Unashangilia Udhalimu ....Kuna watu mnaunasaba na Shetani aisee!
Create problem + then solve it =Hero
Una msongo wa Mawazo unatakiwa upate tiba, tafuta pessa ukatibiwe Mkuu maaana stress ulizonazo zitakuja kufanya ujiue ama ufungwe kifungo cha kukatisha kabisa ustawi wako, acha na mambo ya harakati uchwara wakati mfukoni huna kitu.Wewe ni sehemu ya watu wapumbavu.
Sugu siyo mnyakyusa, hakuna mnyakyusa anaitwa Mbilinyi.
Na mtu makaratasi anayo wewe ulitaka aseme vipi?
Ukijisikia kujambajamba nenda Facebook na siyo JF.
Mambo kama hayo ya kutofuata taratibu na mtu mmoja kuamua kuwa juu ya katiba yakifanyika kwenye vyama vyenu vya siasa hamkemei ndio kwanza mnashabikia tu.Nchi ambayo haijali sheria, bali rais ndio anaamua sheria zitekelezwe vipi.
Kwahiyo hata ukienda hospitali haumuamini hata Docter?(binaadamu)Sijawahi kumwamini binadamu
Hapakuwa na kosa lolote zaidi ya kujipendekeza tu kwa bosi wao, now wanamshangilia "shujaa" wao.Kwani kulikuwa kuna kosa kwa uwekezaji wake hadi serikali kutaka kuibomoa hoteli hii?
Siyo kweli, Jiwe linatafuta kick tu, Sugu kasema hotel imejengwa kwa kufuata vibali vyote. Na kama hao mburula wangeamua kuvunja ni ukweli husiotia shaka Sugu angefungua kesi mahakamani na hata mahakama ingemuabudu Jiwe kuna siku haki ingetendeka tu, bila shaka lingekuwa swala la muda tu. Kwani Jiwe ni nani bhana? Angekaa madarakani muda wote?Ni jambo jema!
Sugu alishakiri kwamba anamuunga mkono Rais Magufuli kwa 100%!