Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazo la kubomoa hoteli ya sugu lilianzia katika inner circle zao gvt na CCM hivyo hata wazo la kutokuibomoa limetoka kwao na sababu zaweza kuwa hizi.Watanzania wengi wamefurahishwa na hatua ya Rais Magufuli ya kusimamisha nia ovu waliyokuwa nayo watendaji wa serikali ya kutaka kubomoa hoteli maarufu ya aliyekuwa mbunge wa Mbeya mjini kwa tiketi ya Chadema, Joseph Mbilinyi, maarufu kwa jina la Sugu.
Kwa bahati nzuri huyo Sugu ameeleza kuwa hoteli yake hiyo ilikuwa na vibali vyote vya mamlaka zinazohusika za kukamilisha ujenzi huo.
Swali linakuja hao watendaji waliotaka kuibomoa hotel I hiyo, walipata wapi kiburi hicho cha kutaka kuibomoa hoteli hiyo, wakati wakijua fika kuwa mwekezaji huyo ana vibali vyote vya mamlaka husika?
Kama hao watendaji hawajapata kiburi hicho kwenye mamlaka za juu za nchi, basi tunategemea hao watendaji waliokuwa na nia hiyo ovu watumbuliwe mara moja.
Kinyume cha hapo tutakuwa tunajenga nchi ambayo baadhi ya watendaji wanaweza kujiamulia mambo yao kwa lengo la visasi tu kwa ajili yakuwakomoa baadhi ya wananchi.
Kama kweli Rais Magufuli ameitoa hiyo kauli bila unafiki wowote, basi tunamtegemea awatumbue haraka hao watendaji wa serikali waliotaka kuibomoa hiyo hoteli, kinyume cha taratibu kwa lengo tu la kutaka kumkomoa Bwana Sugu.
Kwa kuwa sisi wananchi tunamjua Rais wetu kuwa ni mtu asiyetaka masihara hata kidogo na ni mwepesi sana wa kuwatumbua watendaji wake hata kwa "vijikosa" vidogo, basi tunatarajia kwa hawa watendaji wake ambao walitaka kubomoa hiyo Hoteli ya mamiloni ya shilingi za mwwkezaji mzawa wa kitanzania, ambaye amefiata taratibu zote za uwekezaji, basi tunatarajia atawatimbua mara moja ili kuondoa fikra za wananchi wengi kuwa huyo Sugu alitaka kukomolewa kwa kuwa ni kiongozi wa Chadema, hasa tukitilia maanani usemi maarufu wa Rais wetu Magufuli kuwa MAENDELEO HAYANA CHAMA
That is correctMnyeti hajawahi kuwa DC wa HAI
Unayemzungumzia wewe ni mkuu wa mkoa wa Mtwara sasa Bw Gelasius Byakanwa ambaye ndie amewahi kuwa DC wa Hai
Mwenzako Sugu it's all about business. Wewe porojo zako unalipwa na Nani?Haaa imeisha iyoo.
hapo Sugu kalainishwa tayari,tena ameshatoa na shukrani za dhati kwa muheshimiwa Rais ambae awali akutambua ushindi wake.
Tuhesabu siku.
Akuna mkate mgumu mbele ya chai.
Kwa hiyo wametengeneza tatizo na kulitatua na sasa wanagonga glass kwa feva waliyompa Sugu.Hapakuwa na kosa lolote zaidi ya kujipendekeza tu kwa bosi wao, now wanamshangilia "shujaa" wao.
Akihamia sio jinai, hiyo ndio maana halisi ya demokrasiaBaada ya Makubaliano ya Siri kuwa atahamia Kwao kwani hata aliyezuia alishaonyesha Kumkubali wakati wa Kampeni sasa ndiyo tunazugwa mno.
Huwezi kulinganisha vitu visivyofananaKama uwekezaji wa Mbowe.....
Hujui kusoma na wala husikii auNi ya nani? Iko sehemu gani?
Ifanye taarifa yako iwe kamilifu...
Mwenye hotel ni lazima ni msukuma/ mfadhili mkuu wa chama cha Jiwe!
Huu ni mchango bora wa mwaka kwa kweli. Ni wachache wanaweza kumpatia magu kaushauri kenye masimango ndani yake.Daniel mgogo ktk moja ya hotuba yake mbele ya John Joseph alipata kumwambiwa kuwa
Serikali inatoa kubali eneo fulani kujengwe jengo fulani.
Serikali hiyohiyo inakuja kustuka kuwa alaah kumbe hapa tulipaswa kupitisha nyaya za umeme wanakuja kubomoa.
Akatoa ushauri kuwa ni vyema kuhakikisha unapotoa vibali ujue kabisa miaka 40 ama 50 mbele eneo hilo litakuwaje. Isije kuwa serikali ya kujenga na kubomoa na kulipana fidia.
Umesahau mkasa wa Billcanas?Niliwahi kusema JPM is a very considerate person, ni Msikivu, mwenye huruma na anae jali
sana.
P
Huenda Chalamila ndiye aliunda Zengwe la hiyo Hotel kutaka kubomolewa
Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote.
Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye uoto wa asili yaani pembezoni mwa mto hivyo kulikuwa na mpango wa kuibomoa.
Kwa ufupi Rais amesisitiza hilo eneo limepimwa na linafahamika,Watu wa mazingira yaani NEMC wanalifahamu vizuri.
Mkuu wa mkoa ameonyesha jinsi Sugu anavyolinda mazingira ya mto huo huku maji yakitiririka na kumiminika.
Aidha Bwana SUGU amemshukuru Rais Magufuli kwa kumuhakikishia hilo na kujenga imani kwa wawekezaji wengine.
Maendeleo hayana chama
View attachment 1659613
Pale inapofikia nchi kuendeshwa kwa haramu na vitisho na baadhi ya wajinga kuona Ni halali na ujanja.Haaa imeisha iyoo.
hapo Sugu kalainishwa tayari,tena ameshatoa na shukrani za dhati kwa muheshimiwa Rais ambae awali akutambua ushindi wake.
Tuhesabu siku.
Akuna mkate mgumu mbele ya chai.
Hongera ya nini sasa ?Mpe hongera Magufuli sasa, mbona unajifanya hilo nalo hulioni eti kwa sababu tu wewe ni kamanda uchwara?
Mh JPM kafanya kweli na Mungu analiona hili.Nemc hivi wanajielewa kweli ifike hatua mambo ya kipumbavu wasiwe wanatueleza
Yaan mtu anunue eneo wanamuangalia tu aanze kujenga wanamtazama tu amalize ujenzi wapo tu then wanakuja kutueleza mtu yupo ndani ya hifadhi ya maji
Siku zote walikua wapi
Na je inafaida gani kuita vyombo vya habari na kutueleza hayo
Sisi watanzania wengine hatutaki uiinga huo wamalizane wenyewe huko