Rais Magufuli amuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dr. Modestus Kipilimba

Rais Magufuli amuapisha Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dr. Modestus Kipilimba

msaada tafadhali. Wa kwanza kutoka kulia mwanamama ni mkuu Wa nini? Je na huyo anaemfuatia ni mkuu Wa nini? Hao wengine kwaanzia Mangu, mheshimiwa Rais, Kipilimba, Mwamunyange na mkuu wamagereza nawafahan nyadhifa zao. Msaada Hao wawili kutoka kulia dhadhifa zao.

Natanguliza Shukrani
Kutoka kulia ni Mkuu wa uhamiaji akifuatiwa na Mkuu wa Zimamoto Bwana Andengenye
 
Very good...!! Sasa waende Kagera mpakani raia kule wanauawa hovyo na askari wa Rwanda
 
Hivyo viapo..havina maana, wanaapishwa then wanatenda kinyume na kiapo...huyu jamaa ni sheeda!


Swissyou
 
Back
Top Bottom