Uchaguzi 2020 Rais Magufuli anafanya makusudi kutokuidhibiti Corona ili waangalizi wa uchaguzi mkuu wasije nchini mwezi Oktoba

Kabisa Mkuu, na sababu nyingine umesahau ni kuunusuru uchumi tusije kujikuta tumewakaribisha corona na njaa kwa wakati mmoja.
Kudhibiti Corona siyo kwa namna unavyowaza wewe!
 
Nyumbu wa mtaa wa ufipa Ni shida ndio nini kuweweseka hivi [emoji23][emoji1787][emoji2960]
 
Yeye hata afenyeje membe lazima achukue fomu na atamshinda uzuri ni kwamba 90% ya wanaccm tuko na membe
Kuna mtu watamwambia aende kuchukua fomu ili waonyeshe Kuna demokrasia na mtu huyo atashinda kimasihara make wengi pale lumumba wamemchoka baba mwenye nyumba
 
Mkuu na marekani vip nao wanauchaguzi na corona mbona hujalalamika?
 
Mkuu huu uzi hauhitaji hata hoja. Unajua kuwa Spain wamekufa watu zaidi ya elfu ishirini na nchi yao inafunguliwa sasa?.

Kuna kinamama wanaishi kwa kuuza mahindi na ndizi za kutembeza juu ya sinia, wakikaa ndani unaweza kuzilisha familia zao?.
 
Spain kwani hawakuidhibiti Corona
 
Pamoja na utu uzima wako bado huwezi kufikiri sawasawa?
Jibu swali.

Kama kama uchaguzi unasimamiwa na Nec na DED ndio wasimamizi wa uchaguzi..... Hata angekuja Trump , Putin na Johnson hawawezi kubadili chochote msidanganye watu!

Maendeleo hayana vyama 10 Yatosha!
 
Mwaka huu mtapiga ramli sana na uchaguzi utafanyika na JPM atarudi ikulu amilzie amiradi mikubwa aliyoiasisi na kuanzisha miradi mingine.....hutegemei pesa ya wahisani kuendesha uchaguzi wetu.
 
Mwaka huu mtapiga ramli sana na uchaguzi utafanyika na JPM atarudi ikulu amilzie amiradi mikubwa aliyoiasisi na kuanzisha miradi mingine.....hutegemei pesa ya wahisani kuendesha uchaguzi wetu.
Yajayo yatakufurahisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…