Uchaguzi 2020 Rais Magufuli anafanya makusudi kutokuidhibiti Corona ili waangalizi wa uchaguzi mkuu wasije nchini mwezi Oktoba

Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.

Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.

Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.

Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.

Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.

Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
Shetani hubuni mbinu za kishetani daima.Fursa kwake imejitokeza na visheria vya kinga kapitisha.Twafa!
 
Mbona mnaweweseka?

Mlianza kusema tindu lissu anashinda [emoji28]

Mkasema bila tume mnayoitaka patachimbika[emoji28]

Leo imekuwa corona ?
We mlamba masaburi hivi ni lazima uchangie kila hoja humu? Membe aruhusiwe kuchukua fomu ili Mgufuli ajiridhishe namna anavyopendwa na kukubalika ndani ya chama chake.
 
Mwambie membe akachukue fomu

Nyumbu wa mtaa wa ufipa Ni shida ndio nini kuweweseka hivi [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.
 
Lowassa kila mwana sisiemu alikua nae...lowassa alikua zaidi ya membe!
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.
 
Mwambie membe akachukue fomu
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.
 
Hakuna wa kumzuia mwambie akachukue Mkuu

Back
Top Bottom