Kwani ni wapi walikoidhibiti hiyo Corona, huko wanakotoka hao wasimamizi Corona wameithibiti imeisha au?.
Kuidhibiti kwa namna gani? Shirikisha ubongo wako kuepuka kuweka takataka kichwani mwako kwa kuamini kila unachosikia au kuambiwa.
Haya ndio yanaitwa mawazo ya kichawi.
Ukiruhusu kichwani mwako kuwaza hivi lile suala la kupaa na ungo linakuwa ni la muda tu kusubiriwa kufika.
Mwanzisha uzi ni mpumbavu
Uzi wa kijinga aisee..
Bavicha sasa ninkuwaonea huruma tu.
@Bia yetu hupitwi!
Toa hoja
Kabisa Mkuu, na sababu nyingine umesahau ni kuunusuru uchumi tusije kujikuta tumewakaribisha corona na njaa kwa wakati mmoja.
Shetani hubuni mbinu za kishetani daima.Fursa kwake imejitokeza na visheria vya kinga kapitisha.Twafa!Hatimaye siri tumeijua, kumbe analofanya Rais Magufuli la kuacha watanzania waishi kiholela na Corona analifanya kwa makusudi kabisa.
Anadhamiria kuwashawishi waangalizi muhimu wa uchaguzi mkuu kutoka mataifa mbalimbali waisje nchini mwezi octoba. Hili limedhihirika hats huko kwenye baraza la usalama la umoja wa mataifa la Tanzania kuamua kuigawa Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Nimpe tu rai Rais Magufuli kuwa anachokusudia kukifanya ni aibu ya ustawi wa Tanzania mbele ya jumuiya za kimataifa. Narudia tena, Rais anaidhalilisha Tanzania kwa hili.
Ikiwa waangalizi hawatofika nchini (Na kwa uhakika wengi wao hawatofika kutokana na jinsi tunavyoenda) basi itatuletea matokeo mabaya sana huko mbeleni.
Nchi ya Tanzania kati ya mwaka 2021 hadi 2025 itakuwa imeingia kwenye kundi la nchi zenye uongozi usioeleweka, hii ni hatari kubwa sana.
Leo kumbe hata fedha za kuendesha uchaguzi mkuu tumenyimwa! Sasa huo uchaguzi utakuwa vipi wa haki? Wastaafu hata hili hawalioni? Tunaelekea wapi kama Taifa ambalo tunajidai kukuza demokrasia?
Kwani wakija watabadili nini?!
We mlamba masaburi hivi ni lazima uchangie kila hoja humu? Membe aruhusiwe kuchukua fomu ili Mgufuli ajiridhishe namna anavyopendwa na kukubalika ndani ya chama chake.Mbona mnaweweseka?
Mlianza kusema tindu lissu anashinda [emoji28]
Mkasema bila tume mnayoitaka patachimbika[emoji28]
Leo imekuwa corona ?
Twende na Membe 2020
We mlamba masaburi hivi ni lazima uchangie kila hoja humu? Membe aruhusiwe kuchukua fomu ili Mgufuli ajiridhishe namna anavyopendwa na kukubalika ndani ya chama chake.
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.Nyumbu wa mtaa wa ufipa Ni shida ndio nini kuweweseka hivi [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.Wapi
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.Lowassa kila mwana sisiemu alikua nae...lowassa alikua zaidi ya membe!
Kabisa Mkuu, Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.Kweli kabisa mkuu wana ccm wote tupo na Membe View attachment 1485053
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.Mwambie membe akachukue fomu
Membe asizuiwe kuchukua fomu ya kugombea urais kupitia CCM, ili Magufuli ajipime kupitia kwake namna anavyokubalika ndani ya chama chake na pia kuonesha demokrasia kama kweli ipo huko.