Rais Magufuli anaingizwa 'mkenge' na washauri?

Bahati nzuri Mungu haondoi ukomo wa uhai, kifo kiko palepale.
.
FB_IMG_1606244845186.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Na kwa namna anavyopenda sifa na madaraka anaweza kujiongezea muda kwa kisingizio kuwa wananchi bado wanamuhitaji.
Kama watanzania wote 84% na wengine bado watakua wanamuhitaji lazima atakua amekua msaada kwao. Yeye ndio ataona afanye nini ili hao watanzania wapate wanachokitaka

Mungu ibariki Tanzania
 
Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki

Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.

Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.

Mara hiki mara kile.

Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..

Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.

Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.

Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?

Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Sio habari ya washauri tatizo niyeye mwenyewe

Sent from my Nokia 8.1 using JamiiForums mobile app
 
Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki

Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.

Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.

Mara hiki mara kile.

Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..

Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.

Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.

Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?

Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Hakuna mtu anamwingiza Rais mkenge bali huo ni udhaifu wake yeye mwenyewe, wa chini yake wanaoelewa udhaifu huo wanautumia kwa manufaa yao, wasiyoelewa nao ni dhaifu walioteuliwa na yeye mwenyewe wao ni kuchunga ajira zao ambazo hawawezi kupata kwa kiongozi mwingine wa Chama chao hichohicho cha CCM. Washauri wake wengi ni wateuliwa wake lakini badala ya kufanya kazi zao kutatua matatizo ya wananchi, wanafanya kazi za Magufuli za kupeleka maagizo kwa wale chini ambao nao hupeleka kuwa wa chini zaidi, kwa mkondo huohuo pongezi na sifa hurudi mpaka juu wananchi wakibaki na matatizo yao. Kuhusu makosa yayotendeka wakati wa Nyerere kurudiwa wakati huu ni sababu Awamu ya Tano na Chama chao hawana jipya la kuwaletea wananchi ndo maana hata nyimbo na kaulimbiu za wakati ule zinasikika sana siku hizi. Mapinduzi ni mageuzi ya kurudi nyuma, CCM inajitahidi!
 
Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki

Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.

Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.

Mara hiki mara kile.

Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..

Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.

Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.

Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?

Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
In Principle Magufuli ni Rais wetu na tutakuwa nae mpaka November 2025 wakati Rais mwingine atakaechaguliwa 2025 October akichukua kijiti toka kwake.
Tanzania ni nyumbani na kwa wengi wetu hatuna 2nd home country ili kuishi;

John Pombe Magufuli ni mwanadamu kama tulivyo mimi na wewe na njia pekee ya kuishi nae ni kumheshimu kama mwanadamu mwenzetu then kumheshimu pia kwa nafasi yake ya Rais wa JMT ambae pia kikatiba ni mkuu wa nchi na amri jeshi mkuu.

Yet sheria za uwekezaji Tanzania na policy ni zilezile ambazo Mkapa na JK waliziacha. Sanasana TIC kaiweka chini ya OR na kuteua waziri wa uwekezaji ili Tanzania ya kesho iwe bora kuliko leo.

Kuna pahala kwenye biblia Mungu alizungumza na wanadamu kupitia nabii Isaya kwa kumwambia mwanadamu "come and let us reason together"
Njia pekee ya kumshawishi mkulu ni kutafuta platform za dialog kwa staha na kuja na proposed solutions ambazo wananchi watapata na serikali ambayo lengo moja wapo ni kukusanya kodi za kuendeshea nchi nao wapate.

Let us come with facts na tuseme, with time mambo yatabadiika.

Zamani ukifungua biashara, hata kupata TIN bila kishoka au kutoa kitu kidogo TIN ulikuwa haupati kirahisi hata kama ni TIN kwa ajili ya leseni au kadi ya gari. Leo unaingia online website ya TRA inapata TIN.

Hebu tujenge hoja, namna gani tufanye ili serikali ipate na wananchi wapate kwa kujenga uchumi jumuishi na endelevu. Kuna wakati wafanya biashara wa madini walilalamikia kodi na tozo chungu mzima kwenye mfumo wa biashara ya dhahabu, kwa sasa uwazi, usalama na uhakika wa kuuza dhahabu ni mkubwa kwa mchimbaji, broker na dealer hali kadhalika.

kwa upande mwingine, serikali ije na strategic investment models kwa hii miaka 5 ya mwisho ili kuvutia mitaji toka nje kwa kutumia local guarantee.
Mathalani, kuna Mtanzania mwenzetu namfahamu, alipata fursa ya kupata mkopo wa machine/equipments za kuzalisha viwatilifu (agro-inputs) vya mashambani. Ofcourse hakuna na fedha ya kununua machine/equiments, ila ana akili ya kuweza kushawishi kupata mkopo. Soko la viwatilifu Tanzania lipo na ni la hakika iwe kwa ajili ya pamba, chai, tumbaku, kahawa na kila mwaka tuna import.

Kwenye model kama hii, hutu mtu na kampuni yake wanahitaji dhamani toka hazina, wizara ya kilimo (TPRI) kumhakikishia soko na signature ya mwanasheria. Fedha zinalipwa toka banks za nje ili machine na equipment zije, then kwa kuzalisha ndani tuna-cut down imports ya viwatilifu, vijana wanapata ajira, serikali inapata tozo na kodi tokana na uendeshaji wa kiwanda, huenda mkulima akanunua bei nafuu agro-inputs kwa kuwa uzalishaji wa ndani unapunguza costs za usafirishaji kama ni toka india, China au Egypt.
In less than 4 years mkopo ulikuwa unarejeshwa na mzunguko wa ndani unaongezeka. Fedha za kujenga majego waliokuwa wanafanya NSSF na PPF au LAPF kwa sasa PSSSF zingeweza kukopeshwa kwa wekezaji kama huyu jamaa ninaemfahamu na NSSF pia anakua na hakika ya kuongeza wanachama ambao watakuwa wanafanya kazi kwenye hii industry.
That is being smart.
Ila honestly, enzi za JK kulikuwa na watu wa kati wakisikia ua good investment proposal walikuwaga wanaipiga juu kwa juu baada ya kupata blue print.
Kwa sasa ni ngumu kumpata Mkulu ila kama kuna wasaidizi wake wana open mind, uwekezaji wa sasa duniani hautegemei sana cash in hand au bank aliyonayo mwekezaji but rather mahitaji ya soko.

Tunapoingia 2021, let us reduce complains, ila tuje na mada za kujadili na kukosoana kwa what can be done ili tuwe bora zaidi na Tanzania isonge mbele.

Hakunaga single model iliyo sawa 100% kwenye uwekezaji.

Hata katani ambayo ililetwa Tanzania toka Mexico iliingia kwa njia haramu (sisal seedilings was was smuggled) ila baadae katani ikawa na mchango mkubwa kwenye kujenga uchumi wa Tanganyika chini ya Ujerumani, Mwingereza na baadae Tanzania.

Kama kitengo cha TIC wangekuwa na akili za kutafuta new idea, new projects na kufanya kila tuwezalo tuwekeze kama namna wahalifu wanavyosakwa na polisi, TCRA, Financial Intelligrnce Unit, PCCB; tungekuwa na chombo cha ku-extract nini kifanyake na kwa kasi kiasi gani, bila shaka 2021 na kuendelea tungefanya vema zaidi.

Heri ya mwaka mpya 2021 wakubwa
 
Hata tushauri nini kama the basics ziko wrong
Hakuna la maana litakalopatikana..

Nchi zote duniani husumbuliwi ukiingiza pesa
Wanakusumbua ukitaka kutoa pesa kwenda nje..Sisi hata mtu akitumiwa pesa na ndugu yake tunamsumbua..

Nchi zote duniani Bank ndo kimbilio ukiwa na pesa nyingi ...hakuna wa kuzi freeze hadi mahakama itoe hukumu..sio TRA wafanye wanachotaka na pesa za watu..

Nchi zote duniani Mwekezaji mdaiwa anaendelea kudaiwa bila kuifunga biashara yake..Sisi tunafanyaje?

Nchi zote Duniani kuna industry huzigusi Kwa kodi ili zikue kwanza zipanuke
Sisi hata anaefuga kuku wawili kodi??
 
Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki

Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.

Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.

Mara hiki mara kile.

Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..

Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.

Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.

Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?

Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Uchumi huo na fomula zako na dunia yako hayajawahi kutusaidia hata kidogo.Mfumo wa Magufuli umetuonesha dunia ikoje
 
Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki

Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.

Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.

Mara hiki mara kile.

Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..

Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.

Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.

Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?

Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Itoshe tu kusema kuwa Magufuli ndo anaye wapotosha washauri wake. He knows all, accept his death day.
 
Huwa nacheka Sana mtu akilinganisha wafanyabiashara wa Tanzania na wenzao wa nchi kama Kenya, Rwanda nk, hear wa kwetu ni viumbe tofauti....ni aina nyingine ya wezi kwa mgongo wa biashara..janja janja nyingi, kupendwa kutajirika kwa muda mfupi, nk kumbuka walivyokuwa wametengeneza zengwe la sementi! ndio maana serikali wanatumia njia maaalum kwa ajili ya aina yetu ya wafanyabiashara!
Mleta mada hawa Hawa wafanyabiashara unaoeatetea wakienda nchi nyingine kueekeza huwa wanashindwa na kurudia na mifani tunayo!
 
Kiongozi bora utokea kwenye fani zifuatazo uchumi, biashara, sheria, maendeleo ya Jamii hizi ni fani zinazohitaji reasoning capacity na sio claiming capacity Kama fani ya chemistry, physical coz hizi jibu huwa ni moja always moja jumla moja milele itabakia kuwa jibu ni Mbili.
Na hii ndio watu wengi hawajui watu wengi wa masomo ya sayansi kazi yao ni kukariri formula na hawana jipya nje ya hapo

Huishia kujiona Wana akili wakati ni wajinga wamefungwa kwenye kitu kimoja tu cha 1+1=2 baasi lakini ukisoma uchumi au biashara kwa mfano utajua opportunity cost ya Kila uamuzi unaochukua hivyo utaandaa scale of preferences/choice variables kwa rational reasoning
 
Huwa nacheka Sana mtu akilinganisha wafanyabiashara wa Tanzania na wenzao wa nchi kama Kenya, Rwanda nk, hear wa kwetu ni viumbe tofauti....ni aina nyingine ya wezi kwa mgongo wa biashara..janja janja nyingi, kupendwa kutajirika kwa muda mfupi, nk kumbuka walivyokuwa wametengeneza zengwe la sementi! ndio maana serikali wanatumia njia maaalum kwa ajili ya aina yetu ya wafanyabiashara!
Mleta mada hawa Hawa wafanyabiashara unaoeatetea wakienda nchi nyingine kueekeza huwa wanashindwa na kurudia na mifani tunayo!

Two wrongs do not make it right
Sisi hatuna wafanyabiashara waaminifu?
Hizo nchi zingine hawana wafanyabiashara
Wajanja kama wetu?
 
Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake ..ukitaka kuharibu uchumi basi Anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki

Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.

Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.

Mara hiki mara kile.

Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' .. kinachofata watu hukimbia na pesa zao..

Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya..wakihofia Hali hii ya kutotabirika.

Wengine wata wekezs nchi za nje na nchi jirani.. mwisho WA siku uchumi utaporomoka tu.

Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa Sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?

Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?
Hakuna cha mkenge,wanakijani wote ndicho wanatamani kuona kwakuwa maslahi yapo upande wetu.
 
Back
Top Bottom