Rais akishakula kiapo inaanza awamu nyingine. Anaingia na timu mpya kabisa, na anakuwa na hulka zake za kisiasa anazoziamini hivyo unakuwa ni mwanzo wa awamu nyingine.Acheni kupotosha,huyu ni rais wa.sita lakini awamu.ya tano.Mnasema ni rais wa awamu ya sita kwani Kuna uchaguzi ulifanyika tofauti na ule wa October 2020 ?
Nimetizama kwenye katiba hicho kifungu alichotoa hakipo, 49(4) hakipoMkuu Johnny Sack , huu uzi ni wako, na kifungu cha katiba umepewa humu humu kwenye uzi huu huu, mbona bado unakiulizia?!. Hii inaonyesha kuna baadhi ya michango hamsomi!.
P
Nipe basi hicho kifungu mkuu wangu, usitujaze maneno tuKweli watanzania ukitaka kuwaficha kitu kiweke kwenye kitabu.
Kumbe watu hamna kitu kabisa
Wanataka Katiba mpya hata hii ya zamani hawaijui.
Wacha tu niwasaidie bure.
Samia amechukua kipindi Cha Magufuli kikiwa fresh kabisa
Kwa hiyo kile kinahesabiwa ni utawala wake alafu atagombea tena miaka 5
Atakuwa amemaliza kama akishinda
Ila ingekuwa Jiwe kafa 2024 Mama angemalizia 1 wa kipindi Cha mpito tuingie kwenye uchaguzi akishinda anaanza her fresh period akishindwa anaenda kulala
Hicho kifungu kinachosema hivyo mbona hamkitaji? Kuna mwingine kaniwekea kifungu fekiKatiba inasema kama amerithi zaidi ya nusu,ataweza kugombea mara moja tu... ila kama angekuwa amerithi chini ya nusu, angegombea mara mbili. Kwahiyo Mama kama mambo yataenda sawa sawa atagombea mara moja tu mwaka 2025. Mwaka 2030 tutakuwa na Rais mpya, unless watuletee habari za "atake asitake"
Samia mbona hakuvunja Serikali?Rais akishakula kiapo inaanza awamu nyingine. Anaingia na timu mpya kabisa, na anakuwa na hulka zake za kisiasa anazoziamini hivyo unakuwa ni mwanzo wa awamu nyingine.
Nini maana ya awamuAwamu ni ya sita Raisi akifariki awamu inaishia hapo. Awamu sio uchaguzi ni Uraisi.
Ma wewe ukifariki 2024 utatawaliwa miaka mingapi na yeyote yule?Wakuu habari, baada ya Rais Magufuli kufariki, Samia Suluhu ambaye alikuwa makamu wake alikuwa Rais, sasa swali likaja kuibuka kuwa Samia anandeleza awamu ya Magufuli (AWAMU YA 5) au itakuwa ni awamu mpya? ikaamuliwa kuwa ni awamu mpya ila Serikali ikabaki ile ile ya Magufuli
Sasa nauliza ingekuwa ni mwaka mmoja umebaki au miwili kisha ndio Magufuli ndio akafariki, ingekuwa ni awamu ya 6 ya Samia au ingekuwa anamalizia awamu ya 5 ya Magufuli? na kama ni awamu mpya angepewa miaka 5 au angemalizia huo mwaka mmoja na mchakato wa kumpata Rais mwingine kuanza?
Ne hatomaliza muda wake [emoji85]Awamu ya samia itaanza after 2025 yaani awamu ya sita kipindi cha kwanza
Nae hatoimaliza atakuja rais wa 7 awamu ya sita kipindi cha pili
Mfano rahisi tu refa anacheza dakika 90 sasa kwa bahati mbaya katika ya mchezo akapata jeraha refa mwingine ataingia sio!? Sasa inamaana mchezo uanze tena dakika ya kwanza[emoji2]
Wanazi mnatabu sana[emoji2]
Tuelewane hivyo
Good jumla 11Angemalizia halafu angetawala ya kwake 10 hadi 2035!
Usishangae wakamng'oa 2025 wana hasira naye mbayaMungu angemchelewesha kwa muda wote huo? Ni vile Mungu alitaka timing sahihi ya baada ya uchaguzi, angefanya kabla, sukuma gang wangesumbua, hasa kwenye transition, Sasa mama ana jukumu la kufagia na kumaliza kisiasa na kudhoofisha kundi lote la sukuma gang, sms na calls zinafanyiwa analysis maana kipindi kile walijiachia na kuchat bila wasiwasi
SahihiNe hatomaliza muda wake [emoji85]
[emoji24]Sahihi
Teteete[emoji24]
Hawana ubavu huo, majalada ya kufungulia kesi za utakatishaji hayajaisha, Sasa hivi wanakusanyiwa compromising information, akinyanyua kichwa anaonyeshwa uhalifu wake wote, na maoni ya DPP kwamba jalada liende mahakamani, na dhamana imetolewa hati ya kuizuiaUsishangae wakamng'oa 2025 wana hasira naye mbaya
Hakuna ziwa na kaskazini zitamng'oa maza hana mvuto kabisa wa kisiasa tukiacha unazi japo wana jaribu kumbrand lakini hakuna kituHawana ubavu huo, majalada ya kufungulia kesi za utakatishaji hayajaisha, Sasa hivi wanakusanyiwa compromising information, akinyanyua kichwa anaonyeshwa uhalifu wake wote, na maoni ya DPP kwamba jalada liende mahakamani, na dhamana imetolewa hati ya kuizuia
Sawa kabisa. Sharti ni moja tu la kushinda uchaguzi baada ya kupitishwa na chama chake. Ila naye mtoa bandiko awe anasoma katiba, kila kitu kiko wazi!Angemalizia halafu angetawala ya kwake 10 hadi 2035!
Endelea kuota, ziwa asilimia 79 ni kijani, labda wale walima bangi wa TarimeHakuna ziwa na kaskazini zitamng'oa maza hana mvuto kabisa wa kisiasa tukiacha unazi japo wana jaribu kumbrand lakini hakuna kitu
Thubutu, wale jamaa wajanja sn hawaitaki CCM walikuwa wanamtaka jiwe sababu ya ukabila, kuna sumu ya ubara na uzanzibar inatembea utaona.Endelea kuota, ziwa asilimia 79 ni kijani, labda wale walima bangi wa Tarime
Na tena kwa kuangalia muktadha wa thread husika, Ibara ya 40 iliyotajwa hapo juu inahusisha kifungu kidogo cha 4, yaani Ibara ya 40(4) inayosema kwamba:-Endapo kiti cha Rais kitakuwa wazi kutokana na Rais kufariki dunia, basi Makamu wa Rais ataapishwa na atakuwa Rais kwa muda uliobaki katika kipindi cha miaka mitano na kwa masharti yaliyoelezwa katika ibara ya 40
Hivyo basi, sehemu ambayo sija-highlight hapo juu ndiyo inajibu swali lako kwamba:-Endapo Makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama akishika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu auzaidi ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara moja tu.
Kwamba, kwavile katiba yetu inatoa ruhusa ya mtu kugombea MARA MBILI TU, na kwavile SSH kwa sasa katiba inamruhusu kugombea MARA MOJA TU, basi tukiendekeza habari za AWAMU hii tutaita AWAMU MPYA (ya 6)!Sasa nauliza ingekuwa ni mwaka mmoja umebaki au miwili kisha ndio Magufuli ndio akafariki, ingekuwa ni awamu ya 6 ya Samia au ingekuwa anamalizia awamu ya 5 ya Magufuli? na kama ni awamu mpya angepewa miaka 5 au angemalizia huo mwaka mmoja na mchakato wa kumpata Rais mwingine kuanza?