Rais Magufuli, Anza na Kusaini Hati za Wote Waliohukumiwa Kifo, Wanyongwe Haraka Haraka Mpaka..

Pascal Mayalla najua huenda lengo lako ni kuipima kauli ya mkuu kuhusu RAIA wetu walioko nje kunyongwa, ikimaanisha kama ambavyo kumegubikwa na ukakasi na uzito wa kusaini mafaili ya vifo kwetu, hali kadhalika huko nchi zingine wakuu hawakimbilii kuweka sahihi zao.

Kama ni hivyo, kwake rahisi ingekua kuanza kwa kuonyesha mfano. Lakini hizi enzi tulizonazo ziko tofauti sana mkuu, anaweza kusoma asichambue akaamua kuonyesha kwamba alitandika pushapu wakati wa kampeni akaweka sahihi tena mbele ya waandishi wa habari huku akisema "...mayala kwetu ni njaa...nimeona unanijaribu, nimeweka sahihi na watanyongwa".

Tujaribu kuleta mada zenye kiwango cha kueleweka kisicho na mafumbo au kufikirisha sana ili nia njema isije kuishia kuleta maafa....
 
Anampima Mh Rais kama kweli alikuwa akimaanisha au yalikuwa ni mambo ya kisiasa zaidi au ni mbinu mojawapo ya kuwaogopesha watakso taka kuvutiwa na biashara hii....
 
Najuaa anapiga zile gharama za kuwalish bila kuzalisha tu!! Anapenda watolewe wajenge barabara na reli na madaraja.....angalau wafanye kazi kidogo ingawa wamemshauri wale ni hatari sana kutoroka nje nje.....yeye hataki hilo!!! Tusubiri tuone atafanyaje! Na roho yake mbaya!! Na misifa yalimyojaaa
 
Wanabodi,

Kiongozi mzuri ni yule anayeyaishi maneno yake, yaani ku "practice what you preach". Ile preaching ya jana ya Rais Magufuli kuomba Watanzania wanaohukumiwa kifo Wanyongwe tuu, imenigusa na kumshauri ayaishi maneno yake kwa kuanza na hawa wa nyumbani waliohukumiwa kunyongwa mpaka wafe, mafaili ya hukumu zao, yako mezani kwake yakisubiri tuu saini yake,adhabu zao zitekelezwe.

Adhabu ya kifo ndio adhabu kubwa na kali kuliko adhabu zote, mtu akiishahukumiwa adhabu hiyo, huwa haitekelezwi mpaka rais asaini hati ya kifo ya utekelezaji wa adhabu hiyo inayoitwa "death sentence".

Rais anakuwa huru kusaini ama kutosaini, hivyo katika kipindi chá miaka 23 ya utawala wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, inasemekana alisaini hati moja tuu ya Mwamwindi, aliyemuua Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kleruu.

Mwinyi katika kipindi chake cha miaka 10,anasemekana alisaini hati kadhaa na watu wakanyongwa hadi kufa.

Mkapa katika kipindi chake chote hakutolewa taarifa kama aliwahi kusaini hati yoyote ya kifo.

Kikwete kiukweli kwa jinsi alivyokuwa dhaifu kwenye mambo makubwa, sidhani kama angeweza kusaini, hata angetaka kusaini, mkono ungetetemeka.

Udhaifu wa Kikwete ulianzia alipo wasamehe wale watuhumiwa wa EPA.

Kuonyesha alivyo dhaifu rais Kikwete aliwaombea msamaha Watanzania waliohukumiwa kifo nchini China kwa kukutwa na madawa ya kulevya.

Mpaka sasa Kuna mamia ya wafungwa waliohukumiwa kunyongwa tangu enzi za Nyerere ambao hukumu zao hazitatekelezwa zikisubiri saini ya Magufuli.

Marais tangu Nyerere, Mkapa na Kikwete (Mwinyi alisaini), walishindwa kusaini kutokana na udhaifu wa mioyo yao, walikuwa na roho yepesi zenye huruma hivyo kulitia taifa hasara kubwa kutokana na udhaifu wao.

Wafungwa hawa, hawaruhusiwi kufanya kazi yoyote kule gerezani, kazi yao ni kula na kulala tuu. Sasa just imagine hasara wafungwa hawa wanavyolisabishia taifa.

Zaidi ya kula bure na kulala bure, na kuvaa bure, bado wakiugua wanatibiwa kwa gharama kubwa hadi wapone, kwa vile wameisha hukumiwa kifo kwa kunyongwa hadi wafe, wakiugua kwa nini wasingeachwa tuu waugue hadi wajifie zao, na kehesabu hiyo ni kazi ya Mungu, au hata kupewa sumu very lethal poison, wanakufa faster na watuondolee msongamano magerezani.

Zaidi ya kula na kulala bure, pia wanapoteza nguvu kazi kubwa ya taifa, kuwalinda 24/7. Kila mfungwa wa kifo anafungiwa jela ya chumba cha peke yake na kila mmoja anatumia walinzi watatu wa shift za masaa 8 kila siku.

Kama hilo halitoshi taifa linaendelea kupata hasara kwa ku train wanyongaji wanaolipwa mshahara wa bure bila kufanya kazi yoyote ya kunyonga!.

Tunapoteza, fedha nyingi kununulia vifaa vya kunyongea na kuvi maintain muda wote hadi vinachakaa bila kutumika.

Hivyo kwa tangazo la jana la Rais Magufuli kutaka Watanzania waliohukumiwa kunyongwa huko nje wanyongwe, hii inaonyesha rais Magufuli ni rais jasiri na asie muoga muoga na dhaifu kama watangulizi wake, hivyo nashauri kabla MFA haijatuma Note Verbale nchini China kuruhusu Watanzania waliohumiwa vifo wanyongwe, aanze kwa kusaini hati za vifo zilizoko mezani kwake kwa haraka haraka kama alivyosaini ule muswada wa habari.

Kwangu mimi hili limekaa poa, waliohukumiwa kunyongwa mpaka wafe, wanyongwe tuu wafe, jee wenzangu hili mnalionaje? .

Paskali
Rejea

Idadi ya walionyongwa tokea uhuru Tanzania ni 232

Idadi ya wanaosubiria kunyongwa yafikia 465

Mamia wanasubiri kunyongwa nchini
Uyo ni pascal yupi jamanii maana cjamwelewaa anataka nn katika hii hojaa
 
kuna maneno mengine yanatakiwa utumie busara kuyataja,sasa nadhani jamaa yetu hilo halijui,kwa mfano kwa nini usiseme mjomba amekwida kujisaidia useme mjomba amekwenda kunya au badala ya kusema ametembea na mke wa mtu wewe unasema wameto... na mke wa mtu. hili nadhani ndio tofauti kubwa unaweza kufikiri unasema yalio kweli kumbe unaharibu
 
elewa kabla ya kukurupuka,akuomba wanyongwe bali alisema kama wamehukumiwa kunyongwa na basi sheria za nchi husika na ziendelee na taratibu zao,pia balozi zetu zilizopo nchi husika wala zisijisumbue nao maana wmetaka wenyewe/najaribu kutofautisha kauli yako najua nimeeleweka
 
Wanabodi,

Kiongozi mzuri ni yule anayeyaishi maneno yake, yaani ku "practice what you preach". Ile preaching ya jana ya Rais Magufuli kuomba Watanzania wanaohukumiwa kifo Wanyongwe tuu, imenigusa na kumshauri ayaishi maneno yake kwa kuanza na hawa wa nyumbani waliohukumiwa kunyongwa mpaka wafe, mafaili ya hukumu zao, yako mezani kwake yakisubiri tuu saini yake,adhabu zao zitekelezwe.

Adhabu ya kifo ndio adhabu kubwa na kali kuliko adhabu zote, mtu akiishahukumiwa adhabu hiyo, huwa haitekelezwi mpaka rais asaini hati ya kifo ya utekelezaji wa adhabu hiyo inayoitwa "death sentence".

Rais anakuwa huru kusaini ama kutosaini, hivyo katika kipindi chá miaka 23 ya utawala wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, inasemekana alisaini hati moja tuu ya Mwamwindi, aliyemuua Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kleruu.

Mwinyi katika kipindi chake cha miaka 10,anasemekana alisaini hati kadhaa na watu wakanyongwa hadi kufa.

Mkapa katika kipindi chake chote hakutolewa taarifa kama aliwahi kusaini hati yoyote ya kifo.

Kikwete kiukweli kwa jinsi alivyokuwa dhaifu kwenye mambo makubwa, sidhani kama angeweza kusaini, hata angetaka kusaini, mkono ungetetemeka.

Udhaifu wa Kikwete ulianzia alipo wasamehe wale watuhumiwa wa EPA.

Kuonyesha alivyo dhaifu rais Kikwete aliwaombea msamaha Watanzania waliohukumiwa kifo nchini China kwa kukutwa na madawa ya kulevya.

Mpaka sasa Kuna mamia ya wafungwa waliohukumiwa kunyongwa tangu enzi za Nyerere ambao hukumu zao hazitatekelezwa zikisubiri saini ya Magufuli.

Marais tangu Nyerere, Mkapa na Kikwete (Mwinyi alisaini), walishindwa kusaini kutokana na udhaifu wa mioyo yao, walikuwa na roho yepesi zenye huruma hivyo kulitia taifa hasara kubwa kutokana na udhaifu wao.

Wafungwa hawa, hawaruhusiwi kufanya kazi yoyote kule gerezani, kazi yao ni kula na kulala tuu. Sasa just imagine hasara wafungwa hawa wanavyolisabishia taifa.

Zaidi ya kula bure na kulala bure, na kuvaa bure, bado wakiugua wanatibiwa kwa gharama kubwa hadi wapone, kwa vile wameisha hukumiwa kifo kwa kunyongwa hadi wafe, wakiugua kwa nini wasingeachwa tuu waugue hadi wajifie zao, na kehesabu hiyo ni kazi ya Mungu, au hata kupewa sumu very lethal poison, wanakufa faster na watuondolee msongamano magerezani.

Zaidi ya kula na kulala bure, pia wanapoteza nguvu kazi kubwa ya taifa, kuwalinda 24/7. Kila mfungwa wa kifo anafungiwa jela ya chumba cha peke yake na kila mmoja anatumia walinzi watatu wa shift za masaa 8 kila siku.

Kama hilo halitoshi taifa linaendelea kupata hasara kwa ku train wanyongaji wanaolipwa mshahara wa bure bila kufanya kazi yoyote ya kunyonga!.

Tunapoteza, fedha nyingi kununulia vifaa vya kunyongea na kuvi maintain muda wote hadi vinachakaa bila kutumika.

Hivyo kwa tangazo la jana la Rais Magufuli kutaka Watanzania waliohukumiwa kunyongwa huko nje wanyongwe, hii inaonyesha rais Magufuli ni rais jasiri na asie muoga muoga na dhaifu kama watangulizi wake, hivyo nashauri kabla MFA haijatuma Note Verbale nchini China kuruhusu Watanzania waliohumiwa vifo wanyongwe, aanze kwa kusaini hati za vifo zilizoko mezani kwake kwa haraka haraka kama alivyosaini ule muswada wa habari.

Kwangu mimi hili limekaa poa, waliohukumiwa kunyongwa mpaka wafe, wanyongwe tuu wafe, jee wenzangu hili mnalionaje? .

Paskali
Rejea

Idadi ya walionyongwa tokea uhuru Tanzania ni 232

Idadi ya wanaosubiria kunyongwa yafikia 465

Mamia wanasubiri kunyongwa nchini
mawazo yako
 
Mkuu ni wewe unayeongea hivi au?mbona umeanza kuandika bila ule weledi wako au umerogwa wewe!?
 
Kwani km tz sheria hiyo namatatizo makubwa yaliopo ktk upelelezi unaweza kuta wanao nyongwa hawan hatia lazima kuwa naumakini mkubwa
 
Huu mjadala mgumu sana...najaribu kufikiri tu, je wale waliowakimbiza albino na kuwakata viungo?
 
Binadam anaeuwa binadam mwenzie kwa makusudi km evidence zinajitosheleza na yeye achinjwe kwa msumeno wa mbao haraka sana
 
Kwa hili JK akusamehe kwa kumwita dhaifu....ila usijali IPO cku utajutia ulichoandika hapa ukumbuke hata hao unaosema Wanyongwe wanafamilia na ndugu kama ww
 
Unakurupuka sana kuna watu wanafungwa bila hatia mfano kwenye kipind cha zembwela cha uswazi yupo MTU alihukumiwa kunyongwa mwaka 90 alafu miaka ya ivi karibuni ukweli ukabainika kuwa hana hatia mkapa na kikwete wangesaini huoni wangebeba zambi ya kuua MTU bila hatia?
 
Wanabodi,

Kiongozi mzuri ni yule anayeyaishi maneno yake, yaani ku "practice what you preach". Ile preaching ya jana ya Rais Magufuli kuomba Watanzania wanaohukumiwa kifo Wanyongwe tuu, imenigusa na kumshauri ayaishi maneno yake kwa kuanza na hawa wa nyumbani waliohukumiwa kunyongwa mpaka wafe, mafaili ya hukumu zao, yako mezani kwake yakisubiri tuu saini yake,adhabu zao zitekelezwe.

Adhabu ya kifo ndio adhabu kubwa na kali kuliko adhabu zote, mtu akiishahukumiwa adhabu hiyo, huwa haitekelezwi mpaka rais asaini hati ya kifo ya utekelezaji wa adhabu hiyo inayoitwa "death sentence".

Rais anakuwa huru kusaini ama kutosaini, hivyo katika kipindi chá miaka 23 ya utawala wa Baba wa Taifa, Mwalimu Nyerere, inasemekana alisaini hati moja tuu ya Mwamwindi, aliyemuua Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Kleruu.

Mwinyi katika kipindi chake cha miaka 10,anasemekana alisaini hati kadhaa na watu wakanyongwa hadi kufa.

Mkapa katika kipindi chake chote hakutolewa taarifa kama aliwahi kusaini hati yoyote ya kifo.

Kikwete kiukweli kwa jinsi alivyokuwa dhaifu kwenye mambo makubwa, sidhani kama angeweza kusaini, hata angetaka kusaini, mkono ungetetemeka.

Udhaifu wa Kikwete ulianzia alipo wasamehe wale watuhumiwa wa EPA.

Kuonyesha alivyo dhaifu rais Kikwete aliwaombea msamaha Watanzania waliohukumiwa kifo nchini China kwa kukutwa na madawa ya kulevya.

Mpaka sasa Kuna mamia ya wafungwa waliohukumiwa kunyongwa tangu enzi za Nyerere ambao hukumu zao hazitatekelezwa zikisubiri saini ya Magufuli.

Marais tangu Nyerere, Mkapa na Kikwete (Mwinyi alisaini), walishindwa kusaini kutokana na udhaifu wa mioyo yao, walikuwa na roho yepesi zenye huruma hivyo kulitia taifa hasara kubwa kutokana na udhaifu wao.

Wafungwa hawa, hawaruhusiwi kufanya kazi yoyote kule gerezani, kazi yao ni kula na kulala tuu. Sasa just imagine hasara wafungwa hawa wanavyolisabishia taifa.

Zaidi ya kula bure na kulala bure, na kuvaa bure, bado wakiugua wanatibiwa kwa gharama kubwa hadi wapone, kwa vile wameisha hukumiwa kifo kwa kunyongwa hadi wafe, wakiugua kwa nini wasingeachwa tuu waugue hadi wajifie zao, na kehesabu hiyo ni kazi ya Mungu, au hata kupewa sumu very lethal poison, wanakufa faster na watuondolee msongamano magerezani.

Zaidi ya kula na kulala bure, pia wanapoteza nguvu kazi kubwa ya taifa, kuwalinda 24/7. Kila mfungwa wa kifo anafungiwa jela ya chumba cha peke yake na kila mmoja anatumia walinzi watatu wa shift za masaa 8 kila siku.

Kama hilo halitoshi taifa linaendelea kupata hasara kwa ku train wanyongaji wanaolipwa mshahara wa bure bila kufanya kazi yoyote ya kunyonga!.

Tunapoteza, fedha nyingi kununulia vifaa vya kunyongea na kuvi maintain muda wote hadi vinachakaa bila kutumika.

Hivyo kwa tangazo la jana la Rais Magufuli kutaka Watanzania waliohukumiwa kunyongwa huko nje wanyongwe, hii inaonyesha rais Magufuli ni rais jasiri na asie muoga muoga na dhaifu kama watangulizi wake, hivyo nashauri kabla MFA haijatuma Note Verbale nchini China kuruhusu Watanzania waliohumiwa vifo wanyongwe, aanze kwa kusaini hati za vifo zilizoko mezani kwake kwa haraka haraka kama alivyosaini ule muswada wa habari.

Kwangu mimi hili limekaa poa, waliohukumiwa kunyongwa mpaka wafe, wanyongwe tuu wafe, jee wenzangu hili mnalionaje? .

Paskali
Rejea

Idadi ya walionyongwa tokea uhuru Tanzania ni 232

Idadi ya wanaosubiria kunyongwa yafikia 465

Mamia wanasubiri kunyongwa nchini

Mkuu leo Wewe ni wa kusema kuwa Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete ni " dhaifu katika mambo makubwa? " Hivi Wewe ni Pascal Mayalla huyu huyu ninayemjua au ni jina tu? Sasa naanza kuamini kuwa kumbe siyo kila Mtu anayekuchekea au kukusifia anakupenda kweli bali Wanadamu hasa Watanzania tumejaa ' Unafiki ' sana. Pascal Mayalla hivi zile ' favors ' zote huyo huyo uliyemdharau hapo alikuwa akikupa hadi kupelekea jina lako kukua na kupata ' michongo ' mingi ya ' kimtonyo ' na kutoka Kimaisha leo hii ndiyo ' Shukran ' yako Kwake? Hakyamungu Duh!
 
Pasco mbona hii inshu ya kunyonga umeikomalia sana?
Huu ni uzi wa pili ama wa tatu kama sikosei
mods nao inatakiwa waziunganishe threads zako za kuhusu mh rais kunyonga...mana hii ni kma ya 3 kuhusu kitu ikoiko.
aseeee....paskali anatuchosha sana na hizi nyuzi,za aina moja...kitu kilekile.sio fair
Kwenye kutamka kuna kitu kinaitwa meaning, alipotamka mtamkaji alidhamiria nini, kuna kitu kinaitwa derivatives, matamshi hayo yanamaanisha nini, na kwenye kuripoti kuna kitu kinaitwa context na angle.

Ni kweli Rais Magufuli amezungumzia kuruhusu Watanzania watakaoshikwa na madawa nchi za nje, ubalozi usijihusishe nao kabisa na kutoa a go ahead wanyongwe tuu.

Thread ya kwanza context yake ni ya pongezi kwa ushujaa wa rais wetu kutaka wahalifu wa madawa wanyongwe na udhaifu wa JK aliyewaombea wasinyongwe. Magufuli shujaa, ataka 68 wa madawa wanyongwe! Kikwete alikuwa dhaifu mno, aliomba wasinyongwe!

Thread yangu ya pili context ni kushauri nimeshauri tubadili sheria zetu za madawa, tuweke sheria kali na tuwanyonge ili wakome. Tutoe Adhabu Ya Kifo Kwa "Unga", MTZ Akishikwa Popote Arejeshwe, Kwanza Aonyeshe Ndipo Anyongwe?.

Thread ya Tatu ni kuhusu Utekelezwaji wa adhabu ya kifo Tanzania, has nothing to do with madawa ya kulevya Mhe. Rais Magufuli, Anza na Kusaini Hati za Wote Waliohukumiwa Kifo, Wanyongwe Haraka Haraka Mpaka..

Mode akijiridhisha zinafanana, ziungwe tuu! .

Paskali
 
Back
Top Bottom