Wataalamu wanasikilizwa ila wale walioelimika sio waliokaririshwa na utamaduni wa maghgaribi tu bila kuwa na uwezo wa kuitumia elimu yao kwa mazingira ya kTz!Kwa siasa hizi za kujenga maharaja,barabara,SGR na kutosikiliza wataalam zaidi ya waganga,akina Bashite nk kwa sasa mwanaume.Hata hii leo nikisema nimegundua chanjo serikali haina hizo interest. Emerging kuna watu walikuja na mchanganyiko wao wa lishe, yes NIMR wakaupitisha but still Rais akatuma ndege madagasca badala na yeye ku umarket wakwetu
Siku waafrica walipoacha kufikiri na kuwaacha wazungu wafikiri kwa niaba yai ndio lilikua anguko la waafrica! Sasa kuna watu kama Magu wamekuja kuwaamsha waafrica waanze kufikiri tena na kurudisha hadhi yao duniani! Ila nawaona bado watu mnazidi kujiviringidha mashuka na mablanketi mkigoma kuamka!Nayaita ni mataifa yenye akili kwa sababu hata kuvaa suruali umeiga kwao, wewe ulikuwa unavaa ngozi.
Hiyo Smartphone ambayo unaitumia kunitukana haijatengenezwa Tanganyika, wenye akili wametengeneza.
Wazungu watajifunza kuruka ungo kwetu hilo sina ubishi nalo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hatuna resource ya kufanya kila kitu, lazima tuwe na vipaumbele venye impact kubwa, kupima wenye dalili kuna impact kubwa kuliko kupima kiholela!Huwezi kujibu kwa sababu unajua utakuwa umetoa jibu la kwanini data za Covid-19 ni muhimu.
Kama data za ajali, ukimwi, watoto wanaozaliwa kila mwaka, uzalishaji wa mahindi au za population ya nchi ni muhimu basi hata maambukizi ya Covid-19 ni muhimu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Behaviour ya ugonjwa huipati kwanye wenye dalili tu.Ni kwa sababu hiyo (nchi nyingine wanafanya) sisi tuwekeze zaidi kwenye kutest wenye dalili tu kwa resource tulizonazo! Kupata maambukizi haimaanishi ni kupata ugonjwa! Hiyo behaviour ya ugonjwa utaipata kwa wale wenye dalili!
Na sasa hivi ndio tutapata the greatest hit, watu wameiachia, barakoa hawavai!Furahini kwakua huu ugonjwa haukua na impact kubwa kwetu.
La sivyo, tungepukutika kama kuku wenye mdondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mpaka leo data za TB, Ukimwi, malaria, zinachukuliwa.Data kwa sasa hazitusaidii maana hata hizo nchi zinazotoa data karibu zitaacha.
Corona haitakuwa tofauti na tb, ukimwi nk ambayo data ukizitaka utazipata wizara ya afya
Njoo na ushahidi, amefungwa kwenye jela ipi, au kesi ipo mahakama ipi. If you cannot provide those answers then you are here for smear campaigns.Huyo coordinator WHO amepatwa na kirus kinaitwa 'corruption' kinaongozwa na matakwa ya akina Bilgate et al, sio wataalamu wqnaoweka maslahi ya maisha ya watu mbele!
Mazingira ya kitanzania kulea wanaume wasanii. Mimi bado niko naye wanaume wengi wa Kitanzania wanakwepa majukumu yao sana .Wamama wanakopwa mpaka malezi ya watoto na kuna wakati mpaka mnagawana majukumu ya familia nusu kwa nusu na kudai kwa nguvu uchangie wakati ni jukumu lake kutoka enzo na enzi.Sasa hivi vijiwe vingi vya umbea Nivea wanaume shame on themWataalamu wanasikilizwa ila wale walioelimika sio waliokaririshwa na utamaduni wa maghgaribi tu bila kuwa na uwezo wa kuitumia elimu yao kwa mazingira ya kTz!
Hoja yangu iko palepale, Kama leo mwezi June USA wanamiezi 4 ndio wamefikia asilimia 6, watahitaji miezi mingapi kumaliza 100%!!??? Kumbuka pia kwamba waliopimwa miezi mitatu nyuma wanatakiwa kupimwa tenaaaa. Sasa hapao watamaliza lini!??Katika paragraph ya kwanza umeongelea uwezo.
Kisa nchi yetu haiwezi kupima wote.. haimaanishi na wao hawawezi.
Tofauti na sisi wao wana rasilimali watu.. wanatengeneza vifaa vyao. Ndio maana husikii wakilalamika kuishiwa chochote.
Kwa sasa wako mil300. Hata hiyo hatua waliyofika sio mbaya japo hawajafika nusu ya lengo.
Wao wana uwezo yes.. watamaliza kupima lakin sio jambo la leo. Ni progressive.
Possibility za mtu kuambukizwa upya zipo.. ndio maana wenzetu wakijisikia vibaya kidogo wana ji isolate wenyewe au wanaenda hospital faster.. ndio maana wao contact tracing ni rahis maana wananchi wako responsible.
Tofauti na sisi..wenzetu wanamudu gharama.Hoja yangu iko palepale, Kama leo mwezi June USA wanamiezi 4 ndio wamefikia asilimia 6, watahitaji miezi mingapi kumaliza 100%!!??? Kumbuka pia kwamba waliopimwa miezi mitatu nyuma wanatakiwa kupimwa tenaaaa. Sasa hapao watamaliza lini!??
Issue ya gharama sio mchezo kabisa, nakumbuka taarifa ya Mama aliyedaiwa 90mls Kwa matibabu ya Covid19 Kwa Kuwa hakuwa na BIMA, bila Shaka gharama ya kupima pia ni know, wasipoangalia hata mfumo wa BIMA utakolaps