Nayaita ni mataifa yenye akili kwa sababu hata kuvaa suruali umeiga kwao, wewe ulikuwa unavaa ngozi.Akili sijui ni finyu sana...huo utaratibu wa 1-3 ni wa kawaida sana ktk kupunguza maambukizi ya magojwa mbalimbali na ulikuwepo hata kabla ya hiyo WHO kuwepo! Ni malofa tu kama ww ndio unaweza fikiri huo ni ushauri wa WHO! Hata kabla ya kuzaliwa Kristo, huo ulikuwa utaratibu wa kawaida kabisa ktk kuepuka magonjwa ya kuambukiza kama ukoma nk!
Eti mataifa yenye akili, kwako unamaanisha wazungu eeh? Hao wazungu kwa taarifa yako sasa inabidi wajofunze kutoka kwa Tz, kwa Magu! Baada ya kukopi na kupesti anayofanya Magu, ninyi mnaokariri kuwa wazungu na WHO ndio wenye akili mtarudi tena kuunga mkono hoja kwa kuwa imepata 'approval' ya mabwana zenu!
Elimu ya kukariri ni hovyo sana!
Hiyo Smartphone ambayo unaitumia kunitukana haijatengenezwa Tanganyika, wenye akili wametengeneza.
Wazungu watajifunza kuruka ungo kwetu hilo sina ubishi nalo.
Sent using Jamii Forums mobile app