Mavindozii
JF-Expert Member
- Oct 20, 2012
- 2,111
- 2,781
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee at this level faida ya kupima ipo na ni kubwa sana.
Kupima na ku survive ugonjwa ni vitu viwili tofauti.
Statisticaly majibu yanayopatikana kwenye vipimo yanatoa picha halisi ya behaviour ya virus mwenyewe, kundi gani liko katika hatari zaid, kundi lipi lime develop anti-bodies, pia virus strains maana wana mutate every day.
Hizi taarifa husaidia serikal wajue wapi pa kupeleka nguvu.
Lakin pia husaidia wataalam kujua watatumia mbinu gani kukimaliza kirusi kwa chanjo.. na waitengenezaje.
Umeongea vizuri sana kuwa kirusi kina'mutate'! Sasa niambie unafaidika na nini kufanya massive testing kwa nchi nzima, wakati huohuo unajua 'mutation' inaendelea na pia unapomaliza kumpima mtu akiwa -ve leo unampleka mwezini ili asijeambukizwa? Maana wengine wakati zoezi lenyewe la kupimana linaendelea nao wanaambukizwa! Nasapoti kupima wenye dalili na wasafiri cross country! Lakini watu wote, hapana mkuu ni kupanicshana tu!Aisee at this level faida ya kupima ipo na ni kubwa sana.
Kupima na ku survive ugonjwa ni vitu viwili tofauti.
Statisticaly majibu yanayopatikana kwenye vipimo yanatoa picha halisi ya behaviour ya virus mwenyewe, kundi gani liko katika hatari zaid, kundi lipi lime develop anti-bodies, pia virus strains maana wana mutate every day.
Hizi taarifa husaidia serikal wajue wapi pa kupeleka nguvu.
Lakin pia husaidia wataalam kujua watatumia mbinu gani kukimaliza kirusi kwa chanjo.. na waitengenezaje.
Watatuiga very soon, we subiri kidogo tu, Trump amefungua nyumba za ibada...yafuatayo yanafurahisha sana!Nguvu ya nini wakati mpaka uzidiwe, na usipozidiwa hiyo nguvu itakuwa na kazi gani?
Hili gonjwa ingekuwa kipindi cha utawala uliopita ingekuwa diri kwa watendaji na kuacha nchi kwenye madeni makubwa
Kuwahi kutokea.
Huko marekani watu wanawekewa ventilator lakini wanakufa, kuna sayansi kidogo tu wameshindwa kuielewa, kupiga nyungu, na kunywa mchanganyiko wa malimao na vitunguu, kwa sababu ya ubishoo wao.
Huna sababu ya kunidhihaki! WHO ya kipindi hicho siyo hii inayofuata maelekezo ya tajiri Bilgate! Nikueleze tu, hata bila chanjo bado tutatoboa! Hata bila WHO bado tutatoboa tu! Mungu yupo nasi! Ww ambaye imani yako ipo kwa WHO ndio unaweza 'saccumb' na hayo unayoyaogopa! Sisi tutatoboa! Huyo kiumbe aitwae WHO naye pia ni kirus!Unajua Bila WHO WATOTO WETU WATAKUFA HASA WA MASKINI WATAKUFA KAMA KUKU WENYE KIDERI UNAJUA BEI YA HIZI DAWA ZA CHANJO ZA WATOTO? SINDANO MOJA NI LAKI NNE, HATA WEWE UNAYEONGEA HUU UHARO ULIFADHILIWA NA WHO. ANGALIA KWENYE BEGA LAKO KAMA HUNA CHAPA YA WHO ITADUMU MAISHANI MWAKO HIYO ALAMA,
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe shule ulienda kusomea ujinga!!Nani alikuambia kwamba maneno huwa yanaisha??--- kwanini yawekwe akiba??
Huna sababu ya kunidhihaki! WHO ya kipindi hicho siyo hii inayofuata maelekezo ya tajiri Bilgate! Nikueleze tu, hata bila chanjo bado tutatoboa! Hata bila WHO bado tutatoboa tu! Mungu yupo nasi! Ww ambaye imani yako ipo kwa WHO ndio unaweza 'saccumb' na hayo unayoyaogopa! Sisi tutatoboa! Huyo kiumbe aitwae WHO naye pia ni kirus!
Wewe shule ulienda kusomea ujinga!!
Ndiyo maana unauliza maswali ya kijinga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ndugu yangu, kwa sasa badala ya kupokea chanjo ya WHO, ni bora ufe ukijifujizia, kabisa nipo serious! Hii WHO siyo kabisa aisee!Are you kidding .Bila chanjo ,tutatoboa ?Boss naomba umuulize Dr umuhimu wa chanjo kwa infante
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiwa na familia ungeelewa. Una mke na watoto, ukagundua una corona, utaenda uwaambukize au utajitenga? Swala la kupima ni ili usiusambaze utlist mda uende ende mpaka vaccine ipatikane. Ubaya wa corona ni kwamba hujui utareact vipi kwa mtoto wako, baba yako, mke wako, babu yako endapo utamuambukiza.Hivi mnashadadia kupima, hebu nipeni faida ya kupima corona kwanza zaidi ya kujua status ambapo kama ni -ve haitoi quarantee ya kubakia -ve! Na ikiwa +ve haitoi quarantee kuwa utaugua! Nipeni faida za kupima watu wote hata wasio na dalili nchi nzima zaidi ya kuleta taflani! Angalau tungefanya kampeni ya kupima kifua kikuu na malaria nchi nzima maana tukibaini walioambukizwa tutawatibu kwani matibabu yapo! Nielezeni kuhusu corona!
Ndugu yangu unamaanisha corona itakusubiri upime ndipo ianze waambukiza unaoishi nao? Kupima wenye dalili sio kila mtu inamashiko!Ukiwa na familia ungeelewa. Una mke na watoto, ukagundua una corona, utaenda uwaambukize au utajitenga? Swala la kupima ni ili usiusambaze utlist mda uende ende mpaka vaccine ipatikane. Ubaya wa corona ni kwamba hujui utareact vipi kwa mtoto wako, baba yako, mke wako, babu yako endapo utamuambukiza.
Kama kuna uwezekano wa kupima ni vizuri sana kupima watu wako hata kama hakuna dawa. Ila kama hakuna uwezekano ni vizuri kufuata miongozo tunayopewa.Ndugu yangu unamaanisha corona itakusubiri upime ndipo ianze waambukiza unaoishi nao? Kupima wenye dalili sio kila mtu inamashiko!
Bado watu wanadhani wako enzi za siasa ni sanaa. Magu kadhihirisha kwamba siasa ni sayansi, kwamba katika siasa kuna hesabu, Physics, Biology na Chemistry.Furahini kwakua huu ugonjwa haukua na impact kubwa kwetu.
La sivyo, tungepukutika kama kuku wenye mdondo
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani ndugu yangu, kwa sasa badala ya kupokea chanjo ya WHO, ni bora ufe ukijifujizia, kabisa nipo serious! Hii WHO siyo kabisa aisee!
Duh... !Maneno huwa yanaisha kama chakula??
Hii ya kupima imewawezesha kujua maambukizi mengi yanatokea mipakani baada ya wiki mbili wakidhibiti mipakani maambukizi hayatakuwepo mengi.Sisi hatuelewi hata maambukizi yako sehemu gani ni vurugu vurugu tu.Mkuu kama Kenya wagonjwa wa COVID-19 wanaongezeka na hatua za kufungia watu ndani au eneo flani hakuna kuingia au kutoka zinaondolewa, unafikiri kutakuwa na utofauti na Tanzania?
Sijui kama ulifikiria mara mbili kabla ya haujaandika hayo maneno niliyo kunukuu.
Duh... !
Kweli unazidi kudhihirisha kwamba shule ulienda kusomea ujinga.
Ndiyo maneno huwa yanaisha, lakini haywezi kwisha kama chakula!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app