Rais Magufuli aonesha uwezo mkubwa kwenye janga la Corona duniani

Rais Magufuli aonesha uwezo mkubwa kwenye janga la Corona duniani

Mkuu kama Kenya wagonjwa wa COVID-19 wanaongezeka na hatua za kufungia watu ndani au eneo flani hakuna kuingia au kutoka zinaondolewa, unafikiri kutakuwa na utofauti na Tanzania?
Sijui kama ulifikiria mara mbili kabla ya haujaandika hayo maneno niliyo kunukuu.

Kuna dawa tayari watu wanapona - Imethibitishwa na Serikali .......





 
Thibitisha umwisho wa maneno ukoje.
Hilo mbona rahisi tu.
Hapa nimeishiwa maneno ya kueleza jinsi gani ulivyo mjinga, na haya ndiyo maneno yangu ya mwisho sitakujibu tena maana napoteza muda wangu kujibizana na mjinga.
Kwanza tumeingia kwenye mjadala ambao uko nje ya uzi huu kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toka lilipoingia janga hili raisi alitoa msimamo kuwa watu waendelee ka kazi ila wachukue tahadali kwa kufuata mashrti yaliyowekwa na wizara ya afya.

Pili, akasema hii ni vita hivyo tutmie kila siraha kupambana na huu ugonjwa, tutmie pia maombi na dawa za asili na kupiga nyungu ili kuutokomeza ugonjwa huu.

Nchi jirani na wanasiasa wa hapa kwetu na baadhi ya viongozi wa dini a wanachi pingapinga wakabeza na kufuata ushoshoo wa ulaya kwamba raisi anashauli vitu vya hovyo, visivyo vya kitaalam.

Sasa wale waliokuwa wanashabikia majirani kuwa wanachukua hatua za kufunga baadhi ya maeneo au kuweka lockdown mkamsikilize Uhuru Kenyata, sasa kasalim amri na amewatangazia wanachi kuwa ataondoa masharti yote ya lockdown na watu waendelee kazi zao ila wachukue hatua za kujikinga.

Huku wagonjwa wakiongezeka kila siku na kufikia elfu moja na zaidi, Mamabukizi yanaongezeka masharti yanaondolewa sasa hapo maana yake nini?

Je, hasara kiasi gani wamepata kwa hizo lockdown na ugonjwa bado upo?

Viva Magufuli. Viva Tanzania kwa kupata raisi mwenye maono.
Acha umamuma , kipengere muhimu sana cha idadi ya wagonjwa tu kimemshinda kutaja, mapambano atayaweza vipi?unajua idadi ya watu waliofariki mpaka Sasa ,acheni masihara na maisha ya watu .
 
Uwezo gani wewe jikinge watu wanakufa wewe.Angalia afya yako.Uwezo wa kutokupima watu?uwezo gani waliambia watu wafanye kazi unafanya kazi gani sasa na hayo mazao unamwuzia nano wakati utaki kufuata maelekezo ya kanuni za afya.

Yaani watalii mtawasikia Kenya nyie .Juzi WHO wameandika Tanzania ni kati ya nchi hatari za kutembelea .Mnachekeana tu.Ukiumwa au kuuguliwa ndio utaijua Tz na system iliyopo ya afya.
Avata yako duh!.
Watalii wameshatua tayari na wanaendelea kuja
 
Afya yako ni jukumu lako.
 

Attachments

  • C8E4770A-A5AB-4BE3-A9B5-61E86DFF4139.jpeg
    C8E4770A-A5AB-4BE3-A9B5-61E86DFF4139.jpeg
    131.6 KB · Views: 1
Hii ya kupima imewawezesha kujua maambukizi mengi yanatokea mipakani baada ya wiki mbili wakidhibiti mipakani maambukizi hayatakuwepo mengi.Sisi hatuelewi hata maambukizi yako sehemu gani ni vurugu vurugu tu.
Kwa hotuba ya President Uhuru Kenyatta ina maana Kenya watafungua mipaka hivyo kupima na kujuwa ugonjwa unatokea mpaka gani haitasaidia kupunguza ugonjwa.
 
Kwa hotuba ya President Uhuru Kenyatta ina maana Kenya watafungua mipaka hivyo kupima na kujuwa ugonjwa unatokea mpaka gani haitasaidia kupunguza ugonjwa.
Tanzania, kenya ,uganda na Somalia. Inapunguza Soma Lisa cha Korea kusini hawana kifo hata kimoja walianza kutest wazee na walio vonurable kama wagonjwa wa kisukari na kuwa isolate .Ukishajua ugonjwa upo wapi unawatenga watu wachache unamanage maambukizi na vifo.
 
Kwa hotuba ya President Uhuru Kenyatta ina maana Kenya watafungua mipaka hivyo kupima na kujuwa ugonjwa unatokea mpaka gani haitasaidia kupunguza ugonjwa.
kupima kuko palepale.Mimi niko secta ya Afya na matokeo yanajulikana
 
Hivi mnashadadia kupima, hebu nipeni faida ya kupima corona kwanza zaidi ya kujua status ambapo kama ni -ve haitoi quarantee ya kubakia -ve! Na ikiwa +ve haitoi quarantee kuwa utaugua! Nipeni faida za kupima watu wote hata wasio na dalili nchi nzima zaidi ya kuleta taflani! Angalau tungefanya kampeni ya kupima kifua kikuu na malaria nchi nzima maana tukibaini walioambukizwa tutawatibu kwani matibabu yapo! Nielezeni kuhusu corona!
Umeshaambiwa kwamba 35℅ ya wahanga wa Corona hawaonyeshi dalili za huo ugonjwa maanake no kwamba ukisubiri mtu mwenye dalili tu ndiye apimwe utakuwa unapililia janga la maambukizi kutoka kwa hao wasioonyesha dalili.
Marekani inaendelea kupima mpaka sasa hivi wameshapima watu 14,472,611
Katika nchi za Afrika Mashariki in Tanzania tu ambayo haina utaratibu wakupima watu wasiokuwa na dalili za Corona maana hata Sudani ya Kusini imeshapima walau watu 284.
Uganda inaongoza kwa kupima watu 84,975 ikifuatiwa na Kenya ambayo imeshapima watu 59,260.
Ni mapema mno kujigamba kuwa tumewazidi wenzetu kupambana na janga ili wakati tunaitegemea mashine moja kupima nchi nzima kupima virusi vya Corona na tuna zaidi ya wiki mbili hatujatoa takwimu zozote kuhusu hali halisi ya maambukizi ya Corona.
Aidha inaonekana dhahiri kuna usiri mkubwa katika kuelezea swala zima la ugonjwa huu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi mnashadadia kupima, hebu nipeni faida ya kupima corona kwanza zaidi ya kujua status ambapo kama ni -ve haitoi quarantee ya kubakia -ve! Na ikiwa +ve haitoi quarantee kuwa utaugua! Nipeni faida za kupima watu wote hata wasio na dalili nchi nzima zaidi ya kuleta taflani! Angalau tungefanya kampeni ya kupima kifua kikuu na malaria nchi nzima maana tukibaini walioambukizwa tutawatibu kwani matibabu yapo! Nielezeni kuhusu corona!
Ili ujue kupima kuna faida kubwa lazima uwe na uwelewa mpana wa kufikiri na kufuatilia mambo mbalimbali yaliyofanywa na baadhi ya nchi zilizofanikiwa kiasi kupunguza maambukizi katika nchi zao.
1. Unapopima cha kwanza utajua ukubwa wa tatizo yaani kiwango cha maambukizi na jamii gani inayoambukizwa zaidi ugonjwa husika.
2. Ni vema pia ukajua kuna timu ya ufuatiliaji (Contact Tracing and Surveillance) ambayo ufuatilia wale contact wote walikuwa karibu na wale wote waliokuwa na majibu ya +ve baada ya kupimwa ili kuwaweka under surveillance kwa kuwa isolated ili kama watakuwa wameambukizwa wasiweze kuambukiza wengine.
Hii nimekupa kwa uchache faida za kufanya mass testing. lakini ukitaka kujua zaidi fuatilia walichokifanya Japan na South Korea hadi kufanikiwa kwani na wao hawakuwa na Lock down lakini maambukizi na vifo waliweza kuvipunguza sana.

Ukiishamaliza kufuatilia tutaomba update ya idadi ya wagonjwa wa Corona kwa sasa Tanzania na ni takwimu za tarehe ngapi.
 
Kupima watu wote inawezekana kabisa.

Ni suala la kuwa na rasilimali za kutosha na dedicated staff yenye weledi na ari ya kuchapa kazi.

America wanaendelea kupima daily.. ni progressive. Sio kitu cha kupima sehem moja halafu unaacha.

Wanapima na wataendelea japo kuwa itachukua muda mrefu.
Na hawapimi wagonjwa tu. Hata wale ambao hawaonyeshi dalili.

WHO wametoa report juzi juzi kuwa 35% hawaonyeshi dalili japokuwa mdudu anakuwa ameshaingia ndani. Na wanatembea nae.
Acha kudanganya watu, haiwezekani kupima watu wote. Tambua kila baada ya wiki tatu unatakiwa kupima ukizingatia aliyepima leo anaweza kuambukizwa kesho tu. Hapo hujazingatia
Gharama za kupima
Idadi ya vipimo vinavyohitajika
Rasilimali watu wanaohitajika..
Muda utakaotosha kumaliza mzunguko nk.

Mpaka leo 24 May USA wamepima watu 14ml kati ya 331mls ambayo ni sawa na 4% Tu. Kati ya hao 14mls waliopimwa 1.6mls ndio wameathirika sawa na 11%. Kwa hiyo ni uwiano wa mtu 1 muathirika Kwa kila watu 11 wanaopimwa... tafsiri nyepesi hapo ni kwamba wanapima wale traced contacts.
 
Uwezo gani wewe jikinge watu wanakufa wewe.Angalia afya yako.Uwezo wa kutokupima watu?uwezo gani waliambia watu wafanye kazi unafanya kazi gani sasa na hayo mazao unamwuzia nano wakati utaki kufuata maelekezo ya kanuni za afya.

Yaani watalii mtawasikia Kenya nyie .Juzi WHO wameandika Tanzania ni kati ya nchi hatari za kutembelea .Mnachekeana tu.Ukiumwa au kuuguliwa ndio utaijua Tz na system iliyopo ya afya.
Huwezi kuonekana wa maana mbele za wazungu kama unafanya maamuzi bila data, hata kama maamuzi hayo yatakuwa sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katizame speech ya kenyata utajua kuwa hata ukipima haisaidii,
pia kupima watu wote ni kitu hakijawezekana, hata huko marekani toka wamepima hwajafikia hata robo ya watu wake na wako na uwezo mkuwa wa kifedha.

Watapimwa wale wanaoonyesha dalili tu, pia ujue hukobkenya wamejikinga na kupima lakini ugonjwa unazidi kusambaa sasa nipe jibu hapo wame pass au wameshindwa?
Wenzako wanafanya maamuzi kwa data, leo nilikuwa naangalia briefing ya UK, viongozi wanapresent data kwa slides wakionesha graphs za vifo na maambukizi zinavyopungua.

Na maamuzi ya kufungua shule yanafanywa kwa uangalifu sana. Kwa kukaa ndani wameweza kujifunza dynamics za ugonjwa na maamuzi wanayoyafanya yana vigezo vya data.

Leo waziri mkuu na msaidizi wake walikuwa wanapresent na kuulizwa maswali ya papo kwa papo (on line) toka pande zote za nchi.

Wasomi wa bongo wanamiss sana uongozi wa namna hiyo, wanaona kama wanaongozwa kichifu zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who is WHO? WHO imeshapoteza mvuto, kote duniani haiaminiwi! Itabidi lianzishwe shirika mbadala wa WHO!
Tz ipo vizuri na watalii wataendelea kuja kwa kasi! Mungu naombi uzidi ibariki Tz!
Wewe ndio huiamini WHO kwa sababu ya ulofa wako, lakini nchi zote zenye akili zinafuata ushauri wa WHO ikiwa ni pamoja na wewe.

1. Nawa mikono kila mara
2. Maintain social distancing
3. Vaa barakoa n.k.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kama Kenya wagonjwa wa COVID-19 wanaongezeka na hatua za kufungia watu ndani au eneo flani hakuna kuingia au kutoka zinaondolewa, unafikiri kutakuwa na utofauti na Tanzania?
Sijui kama ulifikiria mara mbili kabla ya haujaandika hayo maneno niliyo kunukuu.
Tofauti ni kubwa, Kenya wana data sisi hatuna. Watu wenye akili wataona ni afadhali kwenda Kenya kuliko Tanzania.

Je, umesikia waingereza wamewaondoa raia wao Kenya, na kuna waingereza wengi kuliko Tz, unafikiri kwa nini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo sina tatizo kuhusu ugonjwa upo, shida yangu ni kwamba watu walitaka tufanye kama ulaya huku sisi ni africca,

Shida nipale watu walimbeza mr president kisha aliyoamua katika taifa ndo mataifa yanaaza kurudi huko huku wampata hasara,
Mataifa ya africa tungepiga nyungu wote na kunywa mavitunguu swaum tungepunguza sana tatizo.
Tanzania tumekosea sana, kama tungechukua tahadhari mapema tusingefiwa na watumishi wa Mungu, mkuu wa wilaya, wafanyabiashara, n.k.

Ni mbaya sana kupoteza maisha ya watu kirahisi hivyo kwa mambo ambayo yalikuwa ndani ya uwezo wetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom