Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191


Watakaowasilisha Hati zao za Utambulisho kwa Mamlaka hii leo ni
1. Bw. David William Concar, Uingereza
2. Bw. Muhammad Saleem, Pakistan
3. Bw. Didier Chassot, Uswisi ( Switzerland).

Maneno ya Balozi wa Uingereza

Mara baada ya kutoka kukabidhi hati ya Ubalozi balozi amesema anatumaini uchaguzi utakuwa huru na haki na utamalizika salama. Aliulizwa namna anavyoweza kuuzungumzia uchumi wa Tz amesema badi anajifunza lakini anaona sio mbaya kwa kuweka umeme kwenye vijiji na kujenga miundombinu kama barabara

Balozi wa Pakistan, amesema Tanzania ni nchi nzuri sio tu kwa sekta ya utalii bali pia kwa uwekezaji na sayansi, amesema ametembelea maeneo mbalimbali nchini ikiwemo Kilimanjaro, nk na ameona ni nchi inayovutia sana

IMG_20201005_153616_528.jpg
IMG_20201005_153617_774.jpg
 
Kazi inaendelea;

Karibuni Sana Tanzania.
 
BUBERWA D.,
Kazi zipi unazozungumzia. Wakulima wanapumulia mashine, wafanya biashara wanapumulia mashine, wafanyakazi wanaumia kila kukicha, hamna ajira. Nani atampenda sasa
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Back
Top Bottom