Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

Naona waingeleza nao wameleta mwakilishi wao mbobevu......kweli uchaguzi huu unakwenda kuwa wa kihistoria.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Huo ni uwongo tu kaka Rais Magufuli anafanya maendeleo sana

Kila ukimuuliza kijana anasema atapigia Magufuli kura
Singida mjini wanalima mbaazi pia na soka jpm ameliuwa pia korosho Kule kwingine hawamtaki hata kumuona na walimtaka kumuua one day akakwepa
 
Huo ni uwongo tu kaka Rais Magufuli anafanya maendeleo sana

Kila ukimuuliza kijana anasema atapigia Magufuli kura
Uongo uko wapi? Kwani solo la mbaazi lipo? Si jpm kaliua kwa ubabe wake na bungeni wakawakejeli wakulima kwama wazile wenyewe
 
Back
Top Bottom