Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

Hujui kuwa 'Mbeleshi / Mbelgiji' mwenye Asili ya Mkoani Singida TAL ni Mtani wangu? Nisipomtania Yeye nimtanie nani? Hati yake anaipeleka lini?
There are some powerful people in our country trying to make it difficult for us to vote for Tundu Antipas Lissu. You know why? Because they know when we vote, things change.
 
There are some powerful people in our country trying to make it difficult for us to vote for Tundu Antipas Lissu. You know why? Because they know when we vote, things change.

Kiingereza chako umejifunzia wapi Mkuu?
 
Naona waingeleza nao wameleta mwakilishi wao mbobevu......kweli uchaguzi huu unakwenda kuwa wa kihistoria.
Marekani kaleta balozi badala ya mwakilishi, kwa malikia nao wameleta balozi...uh, mrejesho wao nyumbani unaweza kuwa na kishindo mwaka huu.
 
Mi nimemaliza chuo 2011 wakati wa jk ajira zilikuwa za kumwaga ziwe za ualimu, polisi, jwtz au udaktari labda ukatae kuajiriwa mwenyewe! Lakini hili jamaa ndo limekuja kuharibu nchi Mambo hayaendi.
Ni ujinga kusubiria ajira wakati Tz tuna aridhi ya kutosha. Watu masikini wa kutupwa duniani ni wale wanaodhani kujiliwa ni majibu ya matatizo Yao badala ya kujiajili. Great stupidity!
 
Ni ujinga kusubiria ajira wakati Tz tuna aridhi ya kutosha. Watu masikini wa kutupwa duniani ni wale wanaodhani kujiliwa ni majibu ya matatizo Yao badala ya kujiajili. Great stupidity!
Kwani kulima kunahiyaji mpaka ufike chuo kikuu?
 
Back
Top Bottom