Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

Rais Magufuli apokea hati za utambulisho za Mabalozi 3 nchini

Mabeberu yapo kila sehemu, yamekuja hadi ikulu😑😑😑
 
Mbona matusi kaka yangu
We kima vijana gani uliowauliza? Wadogo zako nyumbani au?
Hivi mbona mwaka huu inaonekana maccm hamtaki kujionesha waziwazi yani mnakuwa mazezeta Kama vile mmeazimisha akili kwa watu wengine mkabaki makopo tu kichwani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Utakosaje kazi au una elimu ya kuunga unga ya kusubiri hela mara moja kwa mwezi kama period
Jpm Hana mpango wa kuajiri yeye ni ndege tu! Juzi walitangaza ajira za ualimu 13000 mpaka sasa application ni 100,000. Kwa jk Mambo haya hayakuwepo.

Lundo la vijana waliojazana Kibamba kutaka kazi ya kusimamia uchaguzi mpaka wamepigwa mabomu na kuumizwa wajue kuwa suluhu ya suala la ajira liko hapa. Meko na CCM wameshindwa kutatua hilo for mkre than 50 years.

Meko hawezi kutatua tatizo la ajira hana hizo akili VOTE HIM OUT
 
Hivi kwa hiyo JK mimi sikuwepo nini? Mimi nimezaliwa wakati nyerer ni Raisi na ana miaka saba tu kama RAIS sasa wew wa lini.Ambaye hana akili ni yupi? Au kuna tatizo la elimu? Semana masomo mnayosoma ya kufuata mikumbo shida ndio hii
 
Mi nimemaliza chuo 2011 wakati wa jk ajira zilikuwa za kumwaga ziwe za ualimu, polisi, jwtz au udaktari labda ukatae kuajiriwa mwenyewe! Lakini hili jamaa ndo limekuja kuharibu nchi Mambo hayaendi.
 
I knew Great Britain lazima ilete balozi kama USA this time; ni habari njema katika maswala ya kusimamia free & fair election kwa Tanzania.
 
Nimefurahishwa na statement ya ambassador from yuK, Who completely congratulate our lovely president Dr John Magufuli for his good work. #Mi5tena kwa JPM
 
Nchi imependezaje wakati wananchi wanakufa njaa. Elimu haina maana tena ajira hakuna miaka mitano.
Kama unasubiri kuajiriwa kwenye karne hii ambapo benki zinaongeza ATM mashine zenye kupokea nakutoa pesa, mamlaka za maji zinaweka mita za maji kama zile za luku, Rwanda wametengeneza roboti za kuhudumia wagonjwa wa corona,nk, nk wewe ni KILAZA!
 
Back
Top Bottom